Dah, hili kanisa too much, usiku kucha nyimbo tu

Dah, hili kanisa too much, usiku kucha nyimbo tu

Dah, hili kanisa too much, usiku kucha nyimbo tu. Usiombe uishi karibu na kanisa la walokole
downloadfile.jpg

Ustaadh Malaria 2 akijipatia kitoweo
 
Kama haujawahi kufika nigeria hususani kwenye miji mikubwa kama lagos, jitahidi ufike huko, kabla haujakutana na kelele za kanisani kwanza unakaribishwa na vibao vikikuonyesha uelekeo wa hayo makanisa..yaani ni balaa
Huku bado sana
 
Wewe unalia na hilo kanisa moja mimi kuna sehemu mtaa flani nchi flani niliishi yani huo mtaa kila aina ya kanisa wamejenga huko kazi kushindana kuhubiri na huko hizo kelele wanalipia. Sasa ikifika ijumaa hadi j2 hayo maspika yao wanafungulia kelele utadhani ni soko. Yaan hadi unatamani uingie huko ukatekate nyaya zote na kupasua hayo maspika wakati unaendelea kukereka na kuwaza ucngz unakuchukua unajikuta kumekucha na maisha yanasonga.
 
Watu wakushika TV na kupokea utajiri akili kisoda sana
20260424_093946.jpg
 
Back
Top Bottom