usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Ni usiku sasa, Wanajeshi rudini mkalale Polisi wafanye doria kuwalinda

    Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
  4. L

    PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunaimarisha Zaidi Ulinzi Na Usalama Usiku Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea. Rai yangu kwenu...
  5. Kaunara

    Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  6. Binti wa zamani

    Usiku wa kuamkia D9: Yajayo yanafurahisha - Karibu Tuzogoe!

    D9 inakukuta ukiwa mkoa gani? Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani? Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga. Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom...
  7. Mwachiluwi

    Njoo tupike sambusa za nyama mlo wa usiku mwepesi kabisa

    Utaanda kusaga nyama yako kama hivi baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto Mambo kama hivyo mlo wa...
  8. The Burning Spear

    Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
  9. RoadLofa

    Niliyoota jana usiku kuelekea 9 Dec

    Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.
  10. A

    Nini maana yake? Kuota unafanya mapenzi

    Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo...
  11. Inside10

    Arumeru: Akatwa Uume na Mkewe kisha kutupwa uvunguni mwa Kitanda Usiku Manane

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku. Akisimulia kisa hicho...
  12. G Sam

    Namna nilivyoona Polisi wakiua Oktoba 29 kuanzia usiku hadi Octoba 30 jioni

    Huu ni ushuhuda wa kweli na jinsi nilivyowaona Polisi wakiua raia hizo siku. October 29 kuanzia saa moja usiku. Polisi walikuwa wamejificha kwenye makutano ya barabara fulani juu ya ghorofa na hapo kila mpita njia aliyekuwa anapita kuanzia saa moja usiku alikuwa anakula shaba. Wengi hawakujua...
  13. Nomadiq

    Dah sasa hivi mbususu zinalika kihuzuni huzuni :(

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...
  14. Mwachiluwi

    Hapa una ongeza nini usiku wako uwe mzuri

    Je hapa una ongeza nini ili usiku wako uende vzr kuliko janaaa
  15. Lord Denning

    JWTZ tangazeni usiku huu kuchukua nchi. Enough is enough.

    Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda. Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni. Mumeona namna hao wanajeshi wa Uganda walivyoua na wanavyoua Watanzania. Samia sio tu hafai kuwa...
  16. Richard

    GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  17. britanicca

    GE2025 Big up watanzania! Usiku huu tuelekee hapa

    Twende Gogoni usiku huu Twende alipo Lissu Nyumba ya Mafwele Nyumbani kwa Muliro Tumechoka! Tunataka mateka wote wakiwa live Britanicca
  18. The Magnifico

    GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  19. S

    Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  20. M

    Josephat Gwajima: Naukataa ufisadi unaoendelea nchini hadi sasa. Viongozi kujilimbikizia mali na kuwasahau wananchi

    Askofu Josephat Gwajima, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), anatarajiwa kuzungumza leo saa 2:00 usiku. Ameahidi kutoa kauli muhimu kwa taifa na kwa viongozi wake. Gwajima, ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, sasa anatarajiwa kueleza jambo zito Watanzania wanasubiri kwa hamu...
Back
Top Bottom