usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

    Binadamu always ni mnafiki,
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi Kitimoto hata uende sa9 usiku unaikuta

    Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti. Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea? Karibu katika mjadala. Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usiku huu nimecheka sana sijui uchawi ama??

    Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu akaeema naona unarejea nkamjibu ndio He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgambo wanaolinda usiku Tabata - Kimanga wamegeuka kero. Hatulali, wanatupigia kelele

    Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania. Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

    Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
  7. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  8. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nini, BUNDI kukaa nje ya Nyumba zaidi ya Mwezi kila Usiku na haondoki?

    Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa. Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sali hizi Zaburi kila saa tisa na dk tano kila siku mojammoja siku 5 utamwona Mungu aliehai akikipignia sema. Mahitaji yako tisa usiku

    hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina 2. ombea anga kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako ombea anga la wanao na la sehemu...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

    Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
  12. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Nzi wanalalaga wapi usiku? Mbona mchana ni wengi lakini usiku sioni wanapolala?

    Eti nzi wanalalaga wapi usiku? Mi sijui
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea. Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa. Maana hata...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano usiku huu Iran akashambuliwa-Stay turned!!!

    Wakati waandamanaji wanaendelea kukiwasha huko Iran Marekani nao wanatrajia kuishambulia Iran kwa kuwaua watu wake yenyewe!!!
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya Energy iliyopo mchana na usiku

    Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF. Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo ulaya ikifika usiku ila mchana ni ngumu.Na hata tv za zamani zilianza usiku kuonekana. Nimeanza...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  18. M

    JamiiForums Tanzania baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  20. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Watanzania. Nawatakia Usiku Mwema

    Hadharani una furaha, sirini unalia. Hadharani ni maarufu, sirini ni mpweke. Hadharani ni jasiri, sirini mnyonge. Hadharani una hekima, sirini ni mjinga. Hadharani ni mwema, sirini ni mwovu. Hadharani ni mcha Mungu, sirini ni mshirikina. Hadharani umeridhika, sirini una roho mbaya. Hadharani una...
Back
Top Bottom