dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Wakuu vip hapo
Nimepewa taarifa mbaya San kwamba jana majira ya saa tatu za usk jirani angu alimpost mchepuko wake aje ampige shoo fupi nje ya choo, choo Cha nje ya public
Dad yule ni mpole sna jmn siku Dhani kama na yey angeweza kuwa na tabia mbaya ,binafsi niliwai mtaka lkn bas nikauchuna Baad ya kuona kama vile kapole sana kumbe ni mtalaumu
Sas ajabu miez miliw iliyo pita nilipita jirani na choo chake nikasikia kama watu wawili hv wanaoga nikadhani wako na mume wake kumbe hata siyo yey kwani muda mfupi baadae nilikwenda dukani nikamkuta mume wake anapiga soga. hapo nilitilia mashaka sna kumbe mama alikuwa anapokeaa mzigo wa mchepuko
Sas jamaa amemfukuza kwao sijui Huwa wadada mkifika makwenu na huku mmefumaniwa Huwa mnakuwa na hali gani mbele ya wazaz wenu ..kake zenu wadogo zenu
Siyo kwamba mm ni mkamilifu sna kwa sababu na mm natoka na mam mwenye nyumba ni swala la muda tu