Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari
Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh.
Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje.
Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata...
Wanabodi,
Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona.
Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa
We Should Tame Tanzania Before She Tames Us With COVID-19
Coronavirus has continued to sweep across the African continent...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza.
Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo
Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa
Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.
Wamesema kweli wahenga
Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu
Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya
Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus
Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa
Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora...
Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya uume ikiwa imesimama zaidi ya mshale ukiwa kwenye mwendo.
Usiku wa jana ni moja ya matukio ambayo...
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari.
Nilifika kazini saa...
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
Mwenyekiti wa ulinzi wa kijiji cha Peramiho A mkoani Ruvuma ambaye pia ni mwenyekiti wa kitongoji cha Mtakuja Pastorius Mbuya amejeruhiwa kwa kipigo cha askari polisi waliochukizwa na mwenyekiti huyo kumpigia simu mkuu wao wa kazi na kuwagongea usiku wakati kituo cha polisi kimefungwa.
Mbuya...
Binafsi nina tatizo la kusahau kabisa ndoto ninazoota, pindi nikiamka. Naliita tatizo kwasababu huko nyuma nilikuwa naota na nakumbuka kila kitu na naweza kumsimulia mtu nimeota nini.
Lakini ghafla nikaanza kusahau kabisa. Hata kama nikishtuka katikati ya usiku nikijaribu kukumbuka hivi...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kituo cha redio cha Talk Sport cha Uingereza ambacho hupasha habari za michezo pekee. Tangu nianze kusikiliza kituo hicho cha redio miaka zaidi ya 15 ilopita nimekuwa ni mfuatiliaji mkubwa sana.
Katika kipindi cha leo mchana ambacho kilikuwa kikiongozwa na watangazaji...
Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi
Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani.
Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
Gurian Adolf-Sumbawanga
WATU wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti wilayani Nkasi mkoani Rukwa, likiwemo la mwanaume kujinyonga kwa kutumia kamba ya nailoni baada ya kugundua mke wake amemtoroka usiku na kwenda kwa mwanaume mwingine.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Justine Masejo...
Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku.
Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo?
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.