ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya tiba ya huu mchungwa

    Naombeni ushauri tafadhali. Tatizo la huu mti wa mchungwa ni kama linavyoonekana pichani. Nilishauriwa na muuza pembejeo za kilimo ninyunyizie DUDU ETHOATE lakini haijasaidia. Kuna dawa inayoweza kuusaidia?
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
  3. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je mwenye kutulia ametulia na staha tulivu, na ana ufikiri , ushauri na maamuzi tulivu kwenye siasa?

    Wasalaam JF, Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata. Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale. Ni hayo tu Tulia na utatulizwa Ndio mimi Wadiz
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa course za afya

    Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md na pharmacy. Kuhusu vyuo nimemwambia apply private ndo atatoboa na sio public kwa sababu za...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa watawala: Wapeni Watanganyika Tanganyika yao

    Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine! Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho bila nyie kupenda! Uvumulivu una mwisho. Wa Watanganyika nao upo ukingoni. Hima! Jitunzieni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Samia chukua ushauri huu Ili utoboe 2025

    Rais wangu na wetu, kutoboa 2025 ni ngumu sana. Wewe uko kivulini hujui ya juani kwetu. Umeshaharibu mbayaa. CCM hawakutakii mema. Vinaja 3 wamejipanga usitoboe. Fanya jambo moja kukuokoa. VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI. Mfukuze kazi Kasim Majaliwa. Wote hawa wamekushauri vibaya. Naishia hapo ila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Wakuu naandika huku nina stress. Huwa ni mzito wa kuongelea mambo yangu ya mapenzi ila hapa JF naona ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri kwasababu kila mtu yupo huru kwa feki ID. Kiufupi mimi ni kijana mdogo wa miaka 37, mkristo na mwanachama wa CCM. Baada ya kumpata msichana tuliyependana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya Nissan X-trail Fourth Generation na Subari Foresta Fourth Generation

    Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni Foresta Toleo la nne na X-trail toleo la nne. Ahsante sana
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  11. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
  12. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
  13. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuelekea tamasha kubwa kabisa nchini SIMBA DAY August 6 Mambo ya Muhimu kuzingatia

    Tamasha bora la mpira wa miguu kuelekea msimu mpya linapaswa kuwa tukio la kusisimua na la kuvutia kwa mashabiki wa mpira wa miguu na ambao si mashabiki wa mpira wa Miguu kuvutika na kuwa WANACHAMA na wapenzi WA TIMU husika simba . Hapa kuna mambo kadhaa yanayoweza kufanywa ili kufanikisha...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa maboresho kwa Tamasha lijalo la Wananchi, hata Simba mnaweza kuchukuwa ushauri huu

    Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu. Tukirejea katika mada...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri waungwana

    Kuna mdogo wangu amemaliza form six mwaka huu na amepata faulu wa 1.9 mchepuo wa HKL kambiwa na mzee achague fani lakini vyuo ni mbeya na mwanza sasa yeye anapenda mambo ya elimu lakini Mimi nikamwambia elimu sasa hivi inshu za ajira imekuwa ngumu sana labda kama una strong connection akasema...
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  17. Chale david

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya mpaka naona siku inachelewa kufika Ila siku ikifika hisia sina tena na huyo mtu zaidi naishia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

    Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana...
  20. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Gari gani ninunue kati ya haya...?

    What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if possible provide comparison of the 4 please? "Majibu hata kww kiswahili tafadhari"
Back
Top Bottom