kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 430
- 780
Hello habarini wanajamv, poleni na majukumu ya kila siku.
Miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu mimi binafsi.
Matokeo wiki hii yametoka:
1. Alisoma ECA amepata div 1 ya points 8
2. Alisoma PCM amepata div 3 ya points 13 (EDD), nambeni mnisaidie ushauri wa kozi watakazosoma wanajamvi.
Asanteni.