Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.

==
Wazee wamesema mjadala wa bandari utatugawa kutokana na namna unavyoendeshwa. Mzee mmoja wa Dar amesema hakuna anayepinga mpango huo au anayeshuku uwezo wa kifedha wa wawekezaji hao bali hawakubaliani na baadhi ya vipengele vya mkataba.

Ili kuepuka makundi, wazee wametoa wito maoni ya wataalamu yazingatiwe na vifungu virekebishwe. Aidha wenye malalamiko watumia njia maalumu kufikisha ujumbe
 
Hatukupigania uhuru kisha kutangaza azimio la arusha kisha tukaweka misingi ya kujitegemea ndani ya katiba halafu miaka 60 baadae Samia na wenzie waje wagawe mali zetu kwa wageni kiubwete, kisha watwambie eti tumeshindwa kujiongoza na kujitegemea bandarini.

Tunataka rasilimali zetu zitumiwe vizuri kwa ajili yetu ni vizazi vijavyo, siyo kugawagawa tu!
 
Hatukupigania uhuru kisha kutangaza azimio la arusha kisha tukaweka misingi ya kujitegemea ndani ya katiba halafu miaka 60 baadae Samia na wenzie waje wagawane mali zetu kwa wageni kiubwete, kisha watwambie eti tumeshindwa kujiongoza na kujitegemea bandarini.

Tunataka rasilimali zetu zitumiwe vizuri kwa ajili yetu ni vizazi vijavyo, siyo kugawagawa tu!
.... kwa wajomba
Na kuna mpuuzi yule "magna ignoramus" alikebehi kwamba ukanda wote wa mwambao hadi pwani ya msumbiji tokea middle east no mali ya Wajomba hao!
 
..yule kijana ni mpuuzi kwelikweli.

..kwanza hata yeye wazazi wake ni asili yao sio pwani.

..pili muarabu aliuza maeneo aliyokuwa akiyamiliki kwa wajerumani.

..tatu nchi inapokuwa huru eneo lake linakuwa mali ya wazawa wa nchi hiyo.

..nne, hata tukikubaliana na mtizamo wake, kwamba bandari ni mali ya watu wa Pwani, basi Wazanzibari hawastahili kuuza mali za Watanganyika.

..mwisho, bandari za maziwani na nchi kavu zilizoko bara nazo zimeuzwa. Kijana mjinga hakuliona hilo?
 
Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
Hawa wazee kuna kitu hawajui. Wanufaika wa uzembe uliopo Bandarini hawataki paboreshwe kwani watakosa kupiga pesa.
Dp WORLD hawaitaki kabisa kwa kuwa itaboresha systems na viroba vya noti wanavyoondoka navyo kila siku hawatavipata tena.
Lissu, Mbowe, Tibaijuka, pengo, Kitima na Slaa ni mawakala wa kanisa wanaonufaika na ufisadi wa bandarini.
Kwa hiyo wazee wangu hiyo ndo habari niliyotaka nikupeni. Mbarikiwe.
 
..yule kijana ni mpuuzi kwelikweli.

..kwanza hata yeye wazazi wake ni asili yao sio pwani.

..pili muarabu aliuza maeneo aliyokuwa akiyamiliki kwa wajerumani.

..tatu nchi inapokuwa huru eneo lake linakuwa mali ya wazawa wa nchi hiyo.

..nne, hata tukikubaliana na mtizamo wake, kwamba bandari ni mali ya watu wa Pwani, basi Wazanzibari hawastahili kuuza mali za Watanganyika.

..mwisho, bandari za maziwani na nchi kavu zilizoko bara nazo zimeuzwa. Kijana mjinga hakuliona hilo?
Hiyo nne hebu weka wazi wameuza kiasi gani
 
Hawa wazee kuna kitu hawajui. Wanufaika wa uzembe uliopo Bandarini hawataki paboreshwe kwani watakosa kupiga pesa.
Dp WORLD hawaitaki kabisa kwa kuwa itaboresha systems na viroba vya noti wanavyoondoka navyo kila siku hawatavipata tena.
Lissu, Mbowe, Tibaijuka, pengo, Kitima na Slaa ni mawakala wa kanisa wanaonufaika na ufisadi wa bandarini.
Kwa hiyo wazee wangu hiyo ndo habari niliyotaka nikupeni. Mbarikiwe.
acha upuuzi hata kama hawafai ndio uitoe bandari milele.
Je inamaana hakitazilwa kizazi chenye akili katika nchi hii??
Kama sisi tuliopo wote ni wajinga?
 
Wewe kijana umekula maharage ya wapi? Wapi umeona kuwa mkataba utakuw wa milele? Epuka uzwazwa wa CHADEMA na akina Nshalla na Mwabukusi.
 
Back
Top Bottom