Naomba ushauri kuhusu kozi nzuri ya kusoma

Mtu Alie Nyikani

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
714
1,527
Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?

Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"

Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo haelewi kabisa, please ambaye anajua course anazoweza soma kupitia hiyo Combination, yaani Course nzuri zenye fursa za kujiajiri na kuajiriwa.

Naomba Mnisaidie hapo. Pia mnaweza zitaja hata kama zipo nyingi nimrushie mwenyew achague.

Karibuni kwa mawazo.
Mungu awabariki.
 
Asome anachokitaka yeye...
Hajui anachotaka kusoma ndo maana anaomba ushaur s unajua wale ambao tunatoka vijijin huko unafaulu unaenda advance then unakuja kufaulu Alfu hujui what next matokeo ndo hayo Sasa
Kama una la kushauri karibu
 
Economics & Statistics UDOM kama ana kichwa cha hesabu kama nu wa kike, kama ni male mpeleke IT huko akapambane
 
Watoto wa siku izi n shida sn we mpk unafika advance hujui unasoma ili iweje huko mbele yako yaan atoke mtu akushaur usome nn kitu ambacho n hatma ya maisha yako akuamulie mtu ambae hata humjui yaan mtu anaeenda chuo kikuu n mtu mzima sn wa kujiamulia hatma ya maisha yake huyo akija kumaliza chuo nakuhakikishia ndio wale wanaosema mm sijaajiliwa mwaka wa 8 huu na yupo nyumban mana alichokisomea alikuwa hakijui hata kashauriwa tu na watu hii n hatari sn kama taifa trust me hata hizi one kuwa nyingi kuna walakin sehem
 
Mwambie
Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?

Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"

Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo haelewi kabisa, please ambaye anajua course anazoweza soma kupitia hiyo Combination, yaani Course nzuri zenye fursa za kujiajiri na kuajiriwa.

Naomba Mnisaidie hapo. Pia mnaweza zitaja hata kama zipo nyingi nimrushie mwenyew achague.

Karibuni kwa mawazo.
Mungu awabariki.
Mwambie aombe Agri engeering sua
 
Anza na je mdogo wako anataka awe nani? Then anzia hapo kutafuta degree programs zinaendana na wishes zake. Anataka kuwa mchumi ikishindikana awe mwalimu au awe muhasibu au awe banker. Baada ya hapo nnda www.tcu.go.tz download 2023/24 Undergraduate Admission Guidebook kisha tafuta vyuo vinavyotoa programe za Acc, Uchumi ,Banking etc then atume maombi kwenye vyuo alivyobaini.
 
Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?

Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"

Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo haelewi kabisa, please ambaye anajua course anazoweza soma kupitia hiyo Combination, yaani Course nzuri zenye fursa za kujiajiri na kuajiriwa.

Naomba Mnisaidie hapo. Pia mnaweza zitaja hata kama zipo nyingi nimrushie mwenyew achague.

Karibuni kwa mawazo.
Mungu awabariki.
1. Bachelor of Arts/science in Economics.
3. Bachelor of Economics and Statistics.
3. Bachelor of Economics and Finance.
4. Bachelor of Science in Agriculture Economics and Agribusiness.
5. Bachelor of Science in Agricultural and Natural Resources Economics and Business.
6. Bachelor of Accounting and Finance/ Bachelor of Commerce in Accounting.

Note. Piga huwa garagaza asome kozi yenye ECONOMICS ndani yake.
 
Back
Top Bottom