ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  2. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri. Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kindoa

    Habarin wadau Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto. Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto kweli ni lake kwa vigezo vyote. Ni jambo gani sahihi kwake anapaswa kufanya juu ya yule mwanamke...
  6. covid 19

    JamiiForums Tanzania ushauri kuhusu service provider mzuri wa internet - fiber

    habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi. nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

    Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama. Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali. Nawasilisha.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu kiwanda cha Mikate

    Habari, mimi ni kijana na nimeamua kuanzisha kiwanda kidogo cha mikate. Je, ni hatua zipi natakiwa nianze?
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Robertinho uwe unafanya rotation ya wachezaji ili kuepusha kupigana misumali

    Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa! Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa...
  12. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya gadgets mtandaoni

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo. Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake. Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi. Karibuni kwa ushauri.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

    Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya. Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa makampuni ya simu kuhusu matumizi ya line za simu

    Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana. Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa ABC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi. Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39? Mimi...
  16. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

    Asalam, Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani. 1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia. 2. Mahala ninapishi network yake iko...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wa mkoani wanaoishi Dar: Pangeni mjini na nje ya mji

    Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku. Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu. Msaada nilio mpa: 1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
Back
Top Bottom