Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi nkafanya kazi za wasiosoma nisubiri kazi za ofisini.
Hata kama nijaribu biashara nazuiwa wanasema kila kitu nnapata kula pia sitegemewi so nitulie tu mpk nitakapopata kazi naombeni ushauri