Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,593
93,309
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
 
aaum
Hili ni wazi la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa Ccm tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Naunga mkono hoja,tuwe Jimbo la 51
 
Jimbo la Alaska lilikuwa ni sehemu ya Urusi.

Kisiwa cha Mayote Commoro ni wilaya ya Ufaransa.

Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na ndio yalikuwa makao makuu ya Sultan.

Zanzibar ingebaki chini ya Oman wangekuwa na maendeleo makubwa, wilivyotekwa na Ccm tu ndio imekuwa laana kama sisi tu.
Tena tumechelewa sana, Serikali iletwe hili azimio Ili tuwe Oversees American Province State
 
Jimbo la Alaska lilikuwa ni sehemu ya Urusi.

Kisiwa cha Mayote Commoro ni wilaya ya Ufaransa.

Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na ndio yalikuwa makao makuu ya Sultan.

Zanzibar ingebaki chini ya Oman wangekuwa na maendeleo makubwa, wivyotekwa na Ccm ndio imekuwa laana kama sisi tu.
Wewe ndo umegonga mule mule,mfano kule Mayote,wakomoro wanazamia Kila siku kwenda kupata papers za kwenda Ulaya

Tuwe Jimbo la 51 la USA
 
Hili ni wazi la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa Ccm tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Jiunge pekeako kushndwa kwa kiongozi mmoja kutmia rasilimali zilizopo haimanishi kwamba watanzania wote hawana ufahamu.Hyo thread ni ya mtu aliyekata tamaa,tayari ww ushajikatia tamaana hata hvyo mbona viongoz wetu wanatmia vyema rasilima unataka wafanyaje?Hujasoma ecomic phases?Dont give up!Dont compare yourself wth other.You can show wonders even yourself.Marekani hatuwezi tkaungana nae na kuwa jimbo lake asahau kabisa!
 
Wewe ndo umegonga mule mule,mfano kule Mayote,wakomoro wanazamia Kila siku kwenda kupata papers za kwenda Ulaya

Tuwe Jimbo la 51 la USA
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
 
Back
Top Bottom