Wife hana tatizo lolote, zaidi kuonekana mchovu na kudeka hapa na pale. Je, mwisho wa kupiga pipe ni mimba ikiwa na wiki ngapi?
Naombeni ushauri wakuu, maana nahofia kumtoboa mtoto utosi.
Habari wadau.
Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka.
Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna.
Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
Poleni sana. Mkataba wa DP World imetufumbua macho hata sisi wananchi wa vijijini.
Ni ushauri kwa Mamlaka. Mikataba yote itakayoingiwa na Serikali katika siku za usoni ijumuishe Watalaam wafuatao:
1. Wanasheria wabobezi kutoka TLS na ZLS.
2. Wanasheria toka Sekta binafsi.
3. Wachumi toka...
Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze
1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na ofisi zetu za balozi lakini kuchagua watu ambao wanauzoefu wa biashara, uwekezaji na ushawishi...
Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii.
Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
Miaka 11 iliyopita niliandika makala mitandaoni nikipendekeza Ikulu ya Dar es Salaam ihamishwe mahali ilipo Magogoni jijini Dar es Salaam, nilipendekeza wazo la Mwalimu Nyerere kuhamishia ikulu Dodoma lizingatiwe na kama hilo litakwama basi Ikulu inaweza kubakia Dar lakini ijengwe pembeni ya mji...
Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo free kumbe kashikwa.
Unajua bisa mtu wako anasoma unatongoza humu mtu mwingine inakera . Hata kama...
WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023
Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina...
Asalam,
Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu.
1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics)
Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi.
Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile.
Hivyo basi...
Kwema Wakuu,
Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu.
Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!
Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
Wakuu habari,
Mtaji wa kuuza accessories za simu kama vile.
Earphones, Battery, Cover, Screen protector na Charger.
Unahitaji mtaji wa shingapi yaani kianzio
Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op.
Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo!
Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu.
Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
Ndugu wanajamvi,
Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha.
Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.