Ushauri wa bure

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo free kumbe kashikwa.

Unajua bisa mtu wako anasoma unatongoza humu mtu mwingine inakera . Hata kama ukimuhakikishia haupo na mtu humu kama hujipi mipaka sio fresh.

Mwisho pendeni kutopotezea mtu muda kumdanganya yupo mwenyewe , onesha upo na mtu , jieshimu acha kutongoza au kutongozwa kila kitu kiwe na mipaka . Good evening
 
Humu ndani ni kaz ya shetan tu ndio inafanya kaz kuna pigo za hatar humu hata vita ya bwana putin na ukraine, bandari na DP World havion ndani
Watu wanawengi na hawataki wengine wapate kama ulipata tulia sio una badili ID hamsini na nduguzi na kuchafulia mtu kwasababu amepata ulipata na hukusumbuliwa so kimya. Mimi nikimwona mtu ambaye ni double anatongozwa humu na muabisha
 
Back
Top Bottom