Ushauri wanafunzi mliomaliza form 6. Degree za sanaa /social science mkazisomee open university huku mnafanya mishe zingine.

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,531
Habari wadau.

Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka.

Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna.

Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value kwa kutazama una digrii ya chuo gani.

Vijana wadogo msipoteze muda.

Msirudie makosa tuliyofanya Dada zenu na kaka zenu

Kwa zama hizi Ni ujinga kwenda kushinda na madesa siku nzima udsm ama udom kusoma degree ya social science ama arts mfano digrii ya journalism ama mass communication. Wakati digrii hiyo hiyo unaweza ukaipata kwa urahisi kabisa open university tena kwa kusoma jioni tu huku mchana unapiga mishe nyingine ama unajifunza ujuzi mwingine. Mfano unapiga kazi kwenye online tv yako ama ya mtu mchana na jioni unaingia chuo. Hapo unapata experience, connection na digree in a same time..

Hiyo degree nimeiweka kama mfano. Ila nimemaanisha social science degree, arts degree, na zinginezo zote.

Ama unaenda evening programe za vyuo ambavyo havina heka heka za kudisco. Mfano CBE ama TIA unasoma zako evening programe huku mchana unafanya mishe nyengine.

Vyuo vikuu kama udsm wana complicate kufanya shule iwe ngumu na ichukue attention yako muda wote. Hivyo ni ngumu kupiga mishe mishe huku bado unasoma udsm. Huku uhalisia kwenye soko hawajali umesoma wapi ? Mshahara ni mmoja tu na mwenzako aliyesoma chuo cha kufaulu wote hakuna kudisco

Uhalisia digrii zote ambazo sio STEM degree zisikufanye ukapoteze siku nzima na nguvu zako zote chuoni. Stem namaandisha digrii zinazoingia kundi la science, technology, engineering na mathematics.
 
Hiyo degree nimeiweka kama mfano. Ila nimemaanisha social science degree, arts degree, na zinginezo zote

Ushauri murua sana huu
 
Ni rahisi kugonga GPA kali vyuo vya kata kuliko vyuo vikubwa. Vijana fungueni macho
 
Mleta mada yupo kitengo cha marketing pale Open,
Hivyo kuweni makini sana na hoja yake.
 
Sema kam kuna ukweli flani iv japo vijan hawawez kukuelewa kirahisi kwa sas iv vyuo vimekuwa ni kwajir ya fame na sifa tu..
 
Tuache sisi wa IFM tykale bata maisha ndo haya haya wengine wakipata ajira sio mbaya wengine tukikosa

Hata ifm nenda kasome. Ila nakushauri ukasome evening programe.

Mchana uwe unapiga mishe zako zingine na jioni ndio unaenda darasani
 
Habari wadau.

Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka.

Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna.

Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value kwa kutazama una digrii ya chuo gani.

Vijana wadogo msipoteze muda.

Msirudie makosa tuliyofanya Dada zenu na kaka zenu

Kwa zama hizi Ni ujinga kwenda kushinda na madesa siku nzima udsm ama udom kusoma degree ya social science ama arts mfano digrii ya journalism ama mass communication. Wakati digrii hiyo hiyo unaweza ukaipata kwa urahisi kabisa open university tena kwa kusoma jioni tu huku mchana unapiga mishe nyingine ama unajifunza ujuzi mwingine. Mfano unapiga kazi kwenye online tv yako ama ya mtu mchana na jioni unaingia chuo. Hapo unapata experience, connection na digree in a same time..

Hiyo degree nimeiweka kama mfano. Ila nimemaanisha social science degree, arts degree, na zinginezo zote.

Ama unaenda evening programe za vyuo ambavyo havina heka heka za kudisco. Mfano CBE ama TIA unasoma zako evening programe huku mchana unafanya mishe nyengine.

Vyuo vikuu kama udsm wana complicate kufanya shule iwe ngumu na ichukue attention yako muda wote. Hivyo ni ngumu kupiga mishe mishe huku bado unasoma udsm. Huku uhalisia kwenye soko hawajali umesoma wapi ? Mshahara ni mmoja tu na mwenzako aliyesoma chuo cha kufaulu wote hakuna kudisco

Uhalisia digrii zote ambazo sio STEM degree zisikufanye ukapoteze siku nzima na nguvu zako zote chuoni. Stem namaandisha digrii zinazoingia kundi la science, technology, engineering na mathematics.
Usitoe ushauri kwa mtu yoyote tena
 
Back
Top Bottom