USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

Selemani See

Member
Aug 27, 2023
20
30
Habari za humu jukwaani! Natumani wazima.

Naomba ushauri wenu juu ya hili maana linanitesa sana.

Kuna manzi namuelewa sana. Nina malengo ya kutengeneza familia na yeye maana ana sifa za mke ninayetaka kuwa naye.

Ila sasa, yeye hasomeki. Hataki kuamini kama nampenda kweli. Anahisi mimi ni hit and run.

Nilimuuliza nifanye nini ili aamini, jibu alilonipa ni kwamba, niendelee hivihivi kumjali mpaka atakapo amini kweli nipo serious.

Wadau nisaidieni nifanye vitu gani ili aamini kwamba nipo serious. Inshort, yule mrembo ni mgumu.

Wahuni wengi washajaribu wakajichomoa wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom