Ushauri: Mtanzania asitunukiwe master's degree , PhD au Uprofessor mpaka afanyiwe kipimo cha utimamu wa akili

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Hello!
Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo.
Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko.
Kipindi kile akiwa na Master's Mimi nilikuwa ni form six lakini kuna vitu nilikuwa namzidi sana.
Baadaye Mimi nikahiendeleza nayeye akajiendeleza. Sasa hivi ana PhD ila daah bado sana . Hii PhD yake haina faida kwa taifa.
Wasomi wenye PhD na Master's ndio wanaogawa mahekari ya nchi hii
Wasomi wenye PhD na Master's ndio wanaodhani maendeleo ni kujaza wawekezaji nchini
Wasomi wenye PhD na Master's ndio wanaoshindwa kuchima madini yetu na kuichukua gesi ardhini , leo hii Dar es salaam kamtungi kadogo kujaza sh 24000.
Sasa watu wapigwe utimamu wa akili kabla ya kupewa elimu ya juu zaidi.
Iko hivyo ofisini ile upate nafasi za kutoa maamuzi (uongozi) wanaangalia nani ana cheti kikubwa although wengi ni matahira.
Akija na vyeti kutoka nje apimwe akili pia ndipo tuitambue akili yake.
 
Vimtu vyenye elimu ndogo kama wewe huwa na inferiority complex na ni vipiga majungu promax huko makazini.

Kwa wivu huu unakaribia kuwa mchawi,,acha ufala nenda kasome na wewe uachane na hicho ki-certificate chako.
 
Back
Top Bottom