Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.