Habari Wanabodi,
Naomba ushauri, kuna mdogo wangu yeye ni Mwalimu wa Sekondari alimaliza Chuo Kikuu SAUT mwaka 2014 na kuajiriwa Serikalini mwaka uliofuata 2015, alichukua Education Masomo ni Economics & Geography.
Mwaka kesho amepanga kwenda kusoma Shahada ya Pili, akanifata kuniomba ushauri...