Naomba ushauri kisheria juu ya kubadili majina

Dennic13

New Member
Oct 18, 2019
3
1
Habari zenu ,nilikuwa naombeni ushauri juu ya kibadilisha jina la kwanza kwani jina hilo limetumika kwenye cheti cha kuzaliwa na nimesomea nalo shule ya msingi pamoja na sekondar japo kuwa matokeo ya kidato cha nne ayakuwa mazuri.

Sasa naitaji niingie QT nisome tena hila naitaji kubadili jina langu la awali nisilitumie nianze kutumia jina langu la pili ambalo nalipenda Sana kuacha la kwanza na je ntafanyaje ikiwa pia jina langu la kwanza lipo kwenye kitambulisho cha mpiga kura na cha kitambulisho cha taifa je ni saw nikabadili jina apatokuwa na tatizo lolote?

Naombeni mnisaidie hapo nashondwa kabisa kimawazo ndio maana nmeleta kwenu tafadhaliini mnisaidie
 
Back
Top Bottom