Ushauri wenu kuhusu kozi ya kusoma kwa matokeo haya

Pizy

Member
Aug 8, 2020
98
57
Habari wana, shikamooni wana jf,

Tumeona matokeo ya form six yametoka, bila kupoteza muda Naomba niende kwenye uzi moja kwa moja siasa tumwachie jiwe na kamati yake.

Naombeni ushauri wa utu uzima kabiasaaa kuhusu course ya kusoma chuo Bachelor degree 2020/2021.

ACSEE comb PCB matokeo Phyz D ,chem C ,Bios C Bam E, Gs D.

CSEE matokeo phyz C bios C, Chemi C, math C , Englsh B, kiswhl C , civics C , Bible knowledge C, Geography B, history C .

Wakubwa naombeni ushauri wenu, binafsi NAPENDA nikasome MD MUHAS. Je, naweza KUPATA nafasi katika chuo hicho? Ukiiangalia waliofaulu wapo wengi ushandani utakuwa mkubwa sana.

Asanteni.
 
Kwa MUHAS kupata MD ni ngumu kwa division two, maana mwaka huu one zipo nyingi na kila mtu mawazo ni kusoma muhimbili, nikushaur usifanye makosa kuapply, angalia vyuo vya private kama st.john koz kama nursing na pharmacy hutokosa..

Pia kwa MD angalia zaid bugando unaweza kubahatika, ni kweli Mwaka huu vigezo vya md vimeshushwa lkn issue ni competition maana waliofaulu ni wengi
 
Kwa MUHAS kupata MD ni ngumu kwa division two, maana mwaka huu one zipo nyingi na kila mtu mawazo ni kusoma muhimbili, nikushaur usifanye makosa kuapply, angalia vyuo vya private kama st.john koz kama nursing na pharmacy hutokosa.. Pia kwa MD angalia zaid bugando unaweza kubahatika, ni kweli Mwaka huu vigezo vya md vimeshushwa lkn issue ni competition maana waliofaulu ni wengi


Ni kweli usemavyo, asante kwa ushauri wako mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom