ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuku kwiyoyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninamtaji wa milioni 3 lakini sijui nifanye biashara gani

    Habari wanaJamiiForums Nirudi kwenye Mada husika. Mimi ni mwanachuo kilichopo Dodoma nipo mwaka wa kwanza. Sasa hapa nilipo nilikuwa nina milioni tatu lakini natamani zijizalishe ili nitakapomaliza masomo niwe na mtaji mkubwa lakini sijajua nifanye biashara gani ambayo haitoniaribia ratiba ya...
  2. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

    Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
  3. J

    JamiiForums Tanzania COVID19: Ushauri kwa Watalii au Wasafiri wanaotoka Tanzania kwenda maeneo mbalimbali nje ya nchi

    Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya. Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani

    Dodoma. Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani ili kuzuia ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa ameliambia Bunge leo Ijumaa Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction Corporation kutoka...
  5. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

    Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa 1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
  6. Lis

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu na ushauri kuhusu kalenda yangu, baada ya kunywa emergency pills

    Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:- Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama. Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi. Swali langu ni je...
  7. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili sitaki nifeli, naombeni ushauri wenu waungwana

    Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja hivi, kutokana na mapito ya kukosa kazi na kuangaika mtaani, nilijichanga mnooo mnoo nilijichanga kupita...
  8. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu

    ...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba, kama inatwaka itwae kombe la CAF iwekeze kwenye beki na kipa wa ukweli.. Good defence = championship

    Habari wadau.. Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika.. Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league nimejifunza mengi sana.. Mpira wa africa una tofauti kubwa na wa ulaya.. ushindani wa caf champions...
  10. Bab fei

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Aga Khan University Tanzania branch

    Wakuu mwenye kufahamu ubora wa elimu wa hiki chuo hasa masters course.
  11. Trophic

    JamiiForums Tanzania Kwa ma-producers wa JF: Naombeni ushauri, tips, etc

    Habari wana jukwaa, Nime attach track yangu, naomba kuambiwa pa kurekebisha, nilikopatia. Nlipoharibu kabisa. Style yangu ni EDM ie Electronic Dance Music, Sub Genre: Melodic Bass. Natumia FL Studio 20. Main VST's: Nexus, Serum, Purity, Native Instruments 8 Niko Soundcloud ...
  12. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Miaka 6 kazini, mishahara haikutani

    Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja. Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote. Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sanaa na Utamaduni uwe chini ya Wizara ya utalii

    Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu. Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii. Wasanii wetu na sanaa kwa...
  14. Robert hendry

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nasoma PCM, Chuo nisome kozi gani?

    Naombeni ushauri, ninasoma PCM ipi kozi bora niisomee nikifika Chuo?
  15. sawe4u

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu. Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)? 1. Boxer 2. SANLG 3. Feckon 4. TVS King 5. Hero 6. King Lion 7. Houjo --- --- --- BAADHI YA MAONI...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C

    (Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki. XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva ulinyang'anywa siku nyingi tu..now amepewa kennedy. Utaendelea kuwa mtangazaji mdogo hadi lini. nI KIPI...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TCCIA Manyara watoa ushauri TRA kufuatia Malalamiko ya wafanyabiashara

    Baadhi ya wafanyabiashara mjini Babati mkoa wa Manyara wakitoa maoni yao juu ya utendaji wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani hapo,wameonyesha kutoridhishwa na namna wanavyohudumiwa. Wakizungumza na kituo hiki bila kutaja majin yao, wamesema kuwa baadhi ya watumishi katika mamlaka hiyo...
  18. muneera75

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapa Ushauri wanachuo wanaorudi kumaliza semister kwa miezi 3

    Habari. Uzi huu ni special kwa ajili ya kuwapa ushauri, ukumbusho, usia wadogo zenu wanaoenda vyuoni kumaliza semister kwa miezi 3na sio 4 tena. Kwa jinsi gani wajiweke vyuoni, mienendo yao ya kila siku inshort Kipi kiongezeke na kipi kipungue ili kufikia lengo. Wako mtiifu. Muneera✨
  19. Mandison

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara. Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali. Maoni ya wadau:
Back
Top Bottom