USHAURI KWA KAMPENI YA URAISI YA CHADEMA
NDUGU wanachadema wenzangu, Ni siku sita sasa zimeisha tangu kampeni ya uraisi ianze, Na kwa kweli niseme wazi kabisa CDM tumeanza vizuri sana katika kampeni hii, na tumepiga hatua kubwa sana, katika harakati hizi za kampeni,
Pamoja na yyote naomba...