urasimishaji

  1. Roving Journalist

    Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kuchelewesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki

    Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kucheleswesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki
  2. M2WAWA2

    Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki. Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
  3. B

    Iramba wanunua kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi na urasimishaji makazi

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
  4. M

    Mkurugenzi wa Jiji Dodoma amefeli zoezi la urasimishaji makazi Nzuguni A

    Mheshimiwa Rais sisi wakazi wa Nzuguni A tunakuomba uingilie kati zoezi hili lisiloisha kwa wenye makazi na viwanja katika eneo la Nzuguni A. Zoezi hili linakaribia mwaka wa tatu lakini imekuwa linaenda kwa kusuasua sana urasimu umekuwa ni mwingi l, ubabaishaji na Rushwa imekithiri kupelekea...
  5. R

    Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  6. Cool

    Zoezi la urasimishaji Iringa lina upigaji pesa

    Hivi karibuni Mh. Waziri Lukuvi ameagiza gharama za urasimishaji zisizidi Tzs.150,000 nchini kote. Ila Manispaa ya Iringa bado wanatoza Tzs.250,000 kwa sqm 400. Nimeona mama mmoja mnyonge ameshindwa kabisa kutoa hiyo hela. Swali langu ni kwamba hivi ni upigaji au ndo gharama zimebadilika...
  7. M

    Zoezi la Urasimishaji wa Ardhi - namna zuri ya kuliongezea uharaka na ufanisi

    UTANGULIZI: Kwa muda sasa serikali imetangaza kuendelea na zoezi la urasimishaji ardhi kwa maeneo yasiyopimwa (squatters). Kufanikisha hilo, serikali imekuwa ikishirikiana na makampuni binafsi ya ardhi kufanya sehemu kubwa ya kazi hizo. Watu katika kampuni hizo wanalipwa kutoka kwa michango ya...
Back
Top Bottom