umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Wananchi wakiwa na taarifa sahihi kutosha kuhusu mambo muhimu katika jamii zao wanakuwa si rahisi kudanganywa na wanasiasa

    Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo. Hata hivyo, tunapopitia hali kama hiyo inapaswa kuwa wakati wa kutambua ukweli kwamba kuwa na taarifa za kutosha katika...
  2. TUKANA UONE

    Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  3. Oscar Lyrics

    Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  4. MamaSamia2025

    Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  5. Ghost MVP

    Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  6. sky soldier

    Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  8. Nrangoo

    Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  9. TheChoji

    Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  10. S

    Umewahi kuadhirika kwenye mambo ya huba

    Iliwashwa taa tupo ukumbini,picha iliyotokea malizia,ila nilikimbia mji miaka mitatu. Je umewahi kukutwa na usiyoyategemea ghafla bin vuw ?
  11. S

    Umewahi kuua mtu?

    Umewahi kuua mtu? Juzi mwanangu Tracey aliniuliza Hilo swali,nilishtuka na kuogopa Sana. Sikutegemea kabisa Kama mwanangu anaweza kuniuliza swali la namna Hiyo. Kwa dakika kadhaa nilimtazama pasipokusema kitu. " Hapana sijawahi." Nilijikuta nimeropoka kwa haraka na gafla baada ya kukaa...
  12. sky soldier

    Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

    Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
  13. carnage21

    Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  14. I

    Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele. Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote? Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
  15. Mama Mwana

    Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  16. Lidafo

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  17. R-K-O

    Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  18. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  19. Oscar Lyrics

    Umewahi kuwa na rafiki wa kweli ambaye huwezi kumsahau kamwe?

    Habari zenu waungwana, Katika ulimwengu wa sasa ni nadra sana kupata rafiki wa kweli ambaye unaweza kumuamini, Nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa na rafiki, huyu alikuwa ni zaidi ya ndugu, tulielewana sana. Tulishirikiana kwa kila jambo, Popote alipo nami nilikuwepo, jamaa alikuwa...
Back
Top Bottom