umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

    Habari za muda huu wanajamvi! Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)? 🔹 Ulijisikiaje? 🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa? 🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani? Nimeuliza hivi kwa...
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  4. 6

    JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili namba yako ya simu na kuanza kusajili ndugu na marafiki upya?

    Dunia uwanja wa fujo, Dunia tambara bovu, Waswahili walisema. Kuna muda nafsi inachoka kabisa na harakati au mtindo wa maisha ulionao, unatamani kupiga chini kila kitu na kuanza upya kabisa ukiwa focused. Eneo linalochosha zaidi ni namba ya simu ya muda mrefu inayogeuka kuwa mzigo usiobebeka...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi nje?

    Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi. Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y. Daaa nikikumbuka...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa na mwanao aliye-disco chuo kisha kupiga picha na 'graduation gown'?

    Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi. Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  10. realMamy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

    Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo. Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi. Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
  11. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

    Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuingizwa mjini?

    Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita, Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina kauchochoro, alipita kwa sababu ilikuwa shortcut ya kwenda mjini, Hakufika mbali mara akaona pesa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata ajali mbaya ukiwa ndani ya bus?

    Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
  15. Y

    JamiiForums Tanzania MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
  16. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushuhudia Harusi ikikosa Wageni kutokana na Michango iliyowekwa?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa. Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachwa na Basi au Treni? Ulifanya nini kuliwahi

    Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅. Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha...
  19. Eddygotya

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na AliExpress, ipi umewahi kuitumia hapa?

    Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka…. Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi...
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Katika mapenzi umewahi kupewa dedication/dedications??

    Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote??? https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo https://youtu.be/CaQKtZQCLBY?si=QNb1_9jMHR7gu-6l Niliwahi pewa hizi dedications nakuambiwa I LOVE U
Back
Top Bottom