Je, umewahi kupasukiwa Kondom wakati wa show?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,494
...imewahi kunitokea mara 2, nitaelezea moja.

Weekend moja kuna binti nilikua namfukuzia tangu mwaka jana. Sasa akawa kakubali tukafanye ila akasisitiza nibebe zana. Wasiwasi ukanibip ila ile mihamu ndo inatuuaga mameeen.

Tumefika room zile foreplays zinaendelea akanisisitiza nitoe ndom. Nikamwambia sina. Akasema basi nitoe vipimo tupime...nikamwambia sina. Akasema hapa No show....macho yamemtoka. Nikalazimisha, wapiiii...

Basi nikatoa pakti ya ndom nikaanza kuvaa. Akanivisha yeye ikagoma, ikabidi niilazimishe mpk ikanienea ivo ivo....nikazamisha!

In the process bana, nikahisi kuna kafeeling flan ka peku plus kuloa! Nilivyochungulia nikakuta kitu kimechanika, kinapanda juu ka chupi za Vipi (enzi zetuuu), sikupaniki, niliendelea kupump mpk nikajojo!

Ye mwnyw alitulia ila nilipoichomoa akasema nimemloanisha...fasta akaenda kunawa!

Baada ya tukio ndo akaja kunipa mastori ya Mazombizombi asee nilijuta!...ila tulirudia tena 2nd round ila niliforce ndom tena na haikupasuka!

Few days tulipima wote tukakuta tuko poa, nimerudia tena alone nipo ok!

Guys tuwe makini....kama hauogopi ngoma njoo CDCI....clinic za UKIMWI au wards za waathirika utapata somo kavu!

Vipi, wewe ikichanika unachukua hatua gani?
 
Zamani sana
 
Mwaka 2007 ilinitokea kipindi nipo kasumbalesa oyaa nilitetemeka sana 😁😂😂ila kumbe yule dada alikuwa Hana magonjwa ya zinaaa ningejua Ningechapa skin to skin
 
Alikua malaya mmoja wa kuitwa angel
Mtoto mweupe na kitako murua
Anauza k gest moja hivi
Siku hi alinyweshwa pombe na mjuba
Akawa hataki kufanya(malaya wengi wakinywa hawataki ku sex)
Nkamfoc nkaenda room kwake kufik nkakuta condoms kibao!
Nkavaa moja nkaanza show
Aloo tromber wee mtoto anautaka tu
Ile nnapampu nkasikia pufuu!
Akili ikahahama full mawenge na mawazo
Nkasepa home huku najuta yaani!!
Kesho yake nkamlazimisha tupime akagoma
Akasema haendi ila ye yuko pow tu😰😰
Nkaona hapa nisi beti
Nkachukua zile dawa za mwezi mzima
Aloo sitakaa nsahau
Nlimeza wiki moja nkaacha
Mdah ahsante mungu

2 hi ndio balaa kwakua ni kweli ya kua yule manzi alikua muathirika😤😤
 
Back
Top Bottom