umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

    Habari wadau wa jamiiforums Habari zenu, Naomba kujuzwa Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa. Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya? Au una uonaje? Tafadhali wadau nisaidieni.
  2. demigod

    JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  3. De Professor

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
  4. Gepard

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

    Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...
  5. Gucci gang

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuangalia Initial D?

    Wasaalam ndugu wa jf garage. Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika familia ya mzazi mmoja yani yeye na baba yake bunta wakijishughulisha na uuzaji wa chakula flan kiitwacho...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na matarajio makubwa kisha ukaumizwa?

    Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuunguza chakula ukipendacho kikashindwa kulika?

    Natumai hamjambo wapishi, Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu. Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu. Nikajifunza kutenga muda kwa...
  8. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

    Habari za uzimaAISEE SIO MIMI)
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Sasa hardcopy ya kitabu hiki inapatikana. Wasiliana na Lycaon pictus kuipata. Muandishi: George S. Clason's, 1926. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021. Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza kunakiliwa, kutolewa...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, wewe umewahi bahatika kukutana na kiongozi yeyote wa Taifa hili na umepata kuongea naye kuhusu nini na mtazamo wake uliuonaje?

    Ni wanasiasa gani umewai kutana nao Live na Mliongea nini Mkashauriana nini. Mwaka 2003 nilikutana na Mzee Hassan Mwinyi kabla sijaanza kufanya kazi na serikali kwa Ukaribu, tuliongea Mengi na nikamkumbusha mambo Mengi ya Nyuma ya History yake binafsi ambayo Wengi hawajui kwakuwa niliipata...
Back
Top Bottom