umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  4. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na tukio hil: Uchumba kutaka kuvunjika, ilikuwaje na mliokoaje ili usivunjike?

    Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 5. Binti mmoja karibu na home alichumbiwa na kijana mmoja aliyekuwa mpenziwe kwa miaka 2 hivi. Baada ya kulipa mahari taratibu za ndoa zikaanza, sasa siku moja walikuwa maeneo ya makumbusho walikuwa wanafanya shopping ya mahitaji yao nafikili ilikuwa kwa ajili ya...
  5. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi ishi na mtu ambaye akilewa ni Kiingereza tu?

    Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
  8. CotterPin

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  9. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

    Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia. Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema. Hii movie...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya prank gani?

    Pranks si vitu vigeni. Tumefanya toka utotoni. Social media ni zimezifanya ziwe maarufu sana. Mimi ilikuwa hii. Tulikuwa na jamaa yangu tumetoka chuo Muhimbili tunaelekea Mabibo hostel. Ndiyo tunaanza shule. Tunatembea hadi mtaa wa Congo kuchukua gari za kutoka Mnazi Mmoja. Sasa kufika jengo...
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

    Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi. To make story short...
  12. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

    Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso. Ukiongea unaambiwa...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumfanyia dharau gani boss au mwajiri wako?

    Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza hela zikibadilishwa, za zamani hupelekwa wapi?

    Kwa anayefahamu atuelekeze Hapo ukifikiria sana utagundua kwamba pesa ni makaratasi maana hizo pesa haziwezi tena kuja kutumika.
  19. vance12

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia Mtandao Kujitibu?

    Matumizi ya Mtandao yamesaidia Kwa kiasi kikubwa kurahisisha Maisha ya binadamu. Kutokana na uwepo wa taarifa nyingi za afya zinazopatikana Mtandaoni, baadhi ya watu huzitumia katika kujitibu magonjwa pasipo Kwenda hospitalini. Wataalam wa Afya wanaonya kuwa tabia hii inaweza kuleta athari...
Back
Top Bottom