umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Katika mapenzi umewahi kupewa dedication/dedications??

    Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote??? https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo https://youtu.be/CaQKtZQCLBY?si=QNb1_9jMHR7gu-6l Niliwahi pewa hizi dedications nakuambiwa I LOVE U
  2. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa maji ya Bomba dukani?

    Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji makubwa ya baridi,nikaletewa ila yana ladha ya ajabu japo yalikuwa na seal ( 2. Nilinunua duka la...
  3. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuingia ghetto na manzi halafu ukashindwa kumla?

    Yule demu Jana nimemmind Sana na yeye anajua aisee! How come demu aingie ghetto halafu ukashindwa kumla? Au alikuwa ananiigizia kwamba nisimuone Malaya? Anyway na nimemblock sasa Kuna manzi Jana nimeingia ghetoni kwangu na demu nilimpanga aje hapa ghetoni kwangu aisee nimetumia almost masaa...
  5. hoof eater

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikiliza story za vijiwe vya bodaboda?

    Habari za wakati? Pengine kwa umri wako,nafasi au ufinyu wa muda ulionao umekupelekea Kutowahi kukaa ata dakika moja kwenye vijiwe vya bodaboda, basi zifuatazo ndio mada au agenda pendwa kwenye vijiwe hivyo. Tips za kubeti; kama we ni mdau wa betting hususani kwenye upande wa soka, basi jaribu...
  6. Rule L

    JamiiForums Tanzania Utani umewahi kukupeleka pabaya???

    Habari wanajamvi, natumai mmeamka salama salmini. Kama mada inavyosema, utani hua ni mameno ya hapa na pale, mara nyingine ni ya ukweli ila yanawasilishwa kwanjia ya utani. Ila utani mara nyingine huota meno ya sumu na kusababisha ugomvi mkali, pengine mpaka kupigana. Binafsi kuna kisa Cha...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unajua au umewahi kusikia nini kwahusu kunguru?

    Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake. 1. Kunguru wana akili kinoma noma. Ni kama akili walizo nazo watoto wa miaka saba kwa upande wa binadamu...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuota unakimbizwa na nyuki?

    Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii inaweza kuwa ishara kwamba unahisi kuzidiwa na kiasi cha kazi au wajibu ulio nao au madeni. Hata kama...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi umewahi jiuliza ni kwanini hatupati kupatwa kwa Jua / mwezi kila mwezi /mwaka licha ya kuwa na mzunguko wa dunia / mwezi unaojirudia rudia?

    Picha: Kupatwa kwa mwezi Picha: Kupatwa kwa jua ===================== Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa kawaida Hii husababishwa na kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia hivyo kukinga baadhi ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Uongo upi usio na maana umewahi kutanana nao kwenye Filamu?

    Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana. Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona...
  13. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

    Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani umewahi kutana nayo sehemu umejitolea kufanya kazi?

    Wakuu habari, Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu. Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo) Ni aidha jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako Anataka uhame atawale soko hio sehem Anataka kukutia adabu /...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Déjà vu: Umewahi kuwa sehemu, au kufanya kitu ukahisi ulichofanya au mazingira ya hapo kwa muda huo yamejirudia kabisa?

    Hiyo hali inaitwa déjà vu, Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi: Theory mojawapo inaeleza kwamba, Namna ambayo ubongo huhifadhi kumbukumbu, mfano kuna jina unalijua limehifadhiwa kwenye ubongo...
  19. Mademoiselle

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuimba uongo?

    Igweeeeeee Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe unabaki kujicheka tu 😅😅😅 Mimi imeshanitokea mara nyingi sana lakini ya recently kabisa ni huu wimbo wa...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia muda gani mrefu kufukuzia Mwanamke?

    Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu? Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia. Yani ile staki nataka. Tiririka Mkuu....
Back
Top Bottom