Umewahi mtongoza mwalimu wako au mwanafunzi wako

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
230
348
Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu
Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume

Sasa hapa shida huwa ni mbinu za kuanzia kumtongoza na najua wengine wapo humu jamvini ,naomba mtuambie mlianzaje kutongoza
 
Nikiwa darasa la saba mwishoni kabisa walikuja walimu ajira mpya
Pis kadhaa moja nikaimba nayo ikatia tiki kwa kujingantangata

Kimbembe kuna li braza la kitaa siku mbili mbeleni lilinikutaniza naye nimeshika mkono nikawashiwa moto kinoma

Mikocheni primary school
Njia ya kwenda home ilibid ibadilike kutoka njia wanaiitaa kijijini msj kuelekea makumbusho
Ikabid nianze kula mzunguko kairuki nitokee kwa kina zizzou fashion
Jamaa kumbe alishajiweka tayar mpuuz yule
Miaka 2000naa
 
🤣🤣🤣🤣 tulia wewee😉
Ungekuwa mwalim wangu na hiyo rangi na hayo macho ningekutongoza tu 😅

Sijawai kutongoza mwalim ila nimewahi letewa pigo hizo na ticha ila dada alishtukia mchezo akanionya mke wa mtu sumu, kipindi hiko nipo form 5 aliniambia yule mumewe ni jangili na alivyo black siku akikukuta tutakusahau.
 
Nikiwa nimetoka frssh from school na nikiwa chuo first year wakati wa likizo, nikaitwa na Head masterwangu wa zamani nikafundishe shule Moja ya Sekondari aliyohamia huko Moro vijijini nikafundishe Chemistry na Biology.

Nikaenda na kuanza piga pindi fresh. Nimefundisha vizuri na kimsingi sikuwa na tamaa japo mabinti wengi walikuwa wananitega. Kuna pisi moja ya form 4 nikaikubali ila nikawa naheshimu uanafunzi wake nami nikiwa mwalimu. Ikamaliza form 4 nami nikamaliza "tempo" kisha nikarudi zangu chuoni.

Sina hili wala lile, sijajua ilitoa wapi namba yangu. Nikaona imenipigia pitia simu ya sister ake kuwa nimekuja Morogoro Mjini na ninaishi kwetu pamoja na dada yangu. Nikaitoa Bikra na ikawa pisi yangu rasmi. Ilinipenda sana nami nilimpenda sana yule binti na ningekuja muoa yule japo alipoenda Arusha Technical machalii wa R wakamjanjarusha.

Huwaga bado nakukumbuka Mamuu, mwalimu wako anakukumbuka sana.
 
Hii stori mbona kama msela wangu wa hapa kitaaa aliwahi nipa hii story au ni wewe?😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom