umeme

  1. JamiiForums Tanzania Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Incubator zisizotumia umeme

    Ninaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
  4. JamiiForums Tanzania Huko Moshi nasikia umeme unakatika kila mara, ni kweli?

    Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie. Demand and Supply theory ita conclude
  5. JamiiForums Tanzania Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini

    TANESCO kama kuna mgao wa umeme hapa Mkoani Morogoro basi tutangazoeni tujue ili tukanunue magenereta tu. Kwa muda wa week kadhaa sasa tanesco mmekuwa mkikata umeme karibu mitaa yote kata ya kihonda. Mathalani kuanzia siku ya ijumaa ya tarehe 18.Dec.2020 kata nzima ya Kihonda haikuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

    Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda. Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hii Hali ya Umeme kutouwepo siku nzima maeneo mbalimbali ya nchi, tatizo nini

    Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo la kununua Umeme wa LUKU kwa kutumia simu?

    Habari wadau, Kuna shida yeyote ya kununua umeme kwa Luku? Nimejaribu kununua umeme kwa halopesa naona inagoma,vipi ni mitandao yote au ni halopesa tu? KK, MINJINGU.
  9. JamiiForums Tanzania Kama kuna mgao wa Umeme si mtangaze tu, mnamuonea nani aibu wakati Nchi kweli ni masikini?

    Wakuu Salaam; Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini? Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii! Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme isiwe biashara huria ili TANESCO ishindane na makampuni binafsi?

    Wadau, hivi kuna ugumu gani sisi kama nchi tukawa na sera ya kuruhusu makampuni binafsi kusambaza na kuuza umeme kwa wateja badala ya makampuni haya kuruhusiwa kuzalisha umeme tu na kisha kulazimika kuwauzia TANESCO ambao ndio wenye haki pekee ya kusambaza na kuuza umeme hapa nchi? Faida ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme Arusha umeanza

    Hapo vipi, Watu wa Arusha kwa ujumla wameifuta CHADEMA - Arusha wakaweka kijani kibichi ambayo ni ishara ya neema. Ni takriban wiki sasa Arusha maeneo ya Sakina, Mianzini, Sanawari, Sekei, Kimandolu, Ngulelo n.k wanakata umeme alafu wanarudisha jioni hakuna taarifa yeyote. Mwananchi ana haki...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  13. JamiiForums Tanzania China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere). Hayo yamesemwa na Rais wa...
  14. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Kalemani: Taasisi zinazodaiwa Bilioni 182 za umeme zikatiwe

    WAZIRI wa Nishati Dk Medard Kalemani ameagiza taasisi za umma ambazo zinadaiwa zaidi ya Sh bilioni 182 na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kukatiwa umeme. Alisema hayo jana mjini hapa wakati akizungumza na wenyeviti wa bodi na wajumbe wa bodi za Tanesco, Wakala wa Umeme Vijijini (REA)...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa jinsi system ya mita za umeme za wireless zinavyofanya kazi anijuze

    Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusikia umeme wa chooni una nguvu, lakini hadi leo hakuna mwanasayansi hata mmoja aliyewahi kuvuna kinyesi tupate umeme

    Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo" Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha! Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya! Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezeji mkandarasi wa umeme

    Habari. Leo nimekuja na Nada tofauti kabisa. Nina mtaji wa 1M nahitaji kuomba leseni ya ufundi umeme wa majumbani na viwandani. Sijafahamu taratibu za kusajili kampuni, kuwa na Tin number na kuorodheshwa kwa wakandarasi wa umeme. Nani anaweza kunisaidia kukamilisha michakato yote. Tuwasiliane.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dailymail Exclusive: Jinsi mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh alivyouawa na Mossad kumbe umeme ulikatwa

    Inakuwaje! Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities. Daily mail tabloid ya Uingereza imefanikiwa kupata taarifa nyeti kutoka kwa muandishi wa habari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

    Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza kuathirika ikiwemo kukwama kabisa kwa miradi hiyo. Hata kama fedha za hii miradi hazitoki Ulaya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…