Wakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu
Habari!
Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia.
Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
Maeneo mengi hapa hakuna umeme. Hivi mgao wa umeme umeanza tena? Tulikwisha sahau kama kuna mgao wa umeme. Kama umeanza basi mtuarifu tufufue majenereta yetu.
Alikuwa na umri wa miaka minne alipoanza shule ya msingi, lakini hata kabla ya wanafunzi wenzake kuanza sekondari, Laurent Simons anahitimu shahada ya chuo kikuu akiwa na umri wa miaka tisa.
Laurent Simons kutoka Ubelgiji alitumia muda wa mwaka mmoja kumaliza darasa la kwanza katika shule ya...
Mradi wa Umeme wa maporomoko ya Mto Rusumo uliopo mpakani wa Tanzania na Rwanda, unazishirikisha Nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi unaendeshwa kwa mkopo Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo Afrika kupitia taasisi au mtu kati anayeitwa NELSAP, mradi huu unatarajiwa utakapokamilika...
Tesla imezindua gari linalotumia umeme ambalo hatahivyo liliiaibisha kampuni hiyo wakati wa uzinduzi huo.
Wakati walipokuwa wakionyesha jinsi madirisha ya gari hilo yalioundwa na glasi isiyovunjika; kwa bahati mbaya wakati wa maonyesho yalivunjika.
Elon Musk alisikika akitukana kabla ya kutoa...
KUTOKANA na serikali kutenga Sh bilioni 179 kwa ajili ya kusambaza umeme nchini, zaidi ya vitongoji 4,000 mkoani Pwani ambavyo havijapata huduma hiyo vitanufaika kupitia mradi wa ujazilizi.
Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha...
Napenda kumtaarifu Mhe. Kalemani - Waziri wa Nishati juu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Rorya. Ikifika muda wa saa moja usiku na kuendelea utashuhudia ghafla umeme unakatika hata kwa muda wa masaa mawili.
Umeme unaweza kurudi na tena ghafla unakatika. Mhe. Waziri alituaminisha...
Enzi za Tanesco kuwa monopoly msambazaji wa umeme zimepitwa na wakati. Huu ulikuwa mfumo wa Ujamaa, enzi za collectiveness. Hakukuwa na ushindani wa kibiashara.
Makampuni mengine yakaribishwe na kupewa zabuni ya kusambaza umeme. Wananchi wapewe uhuru wa kuhama kwa supplier mwenye huduma...
MIRADI mikubwa mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano imewezesha kutoa ajira kwa Watanzania 15,009 hadi kufikia Oktoba mwaka huu.
Miradi hiyo ni ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza unaotekelezwa kwa awamu, Mradi wa Kufua Umeme wa Maji katika...
Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao
Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
Nyie TANESCO haya mambo ndiyo maana mnatumbuliwa haiwezekani kwa mwezi mzima kila siku mnakata umeme mara nne na hata zaidi na tena hamna taarifa yoyote iliyotolewa kuashiria tatizo maeneo ya Mbezi makabe.
Najua mnapita humu na hata Mawaziri husika wanapita humu. Kuweni waungwana kama kuna...
UFAHAMU MRADI WA ’STRIEGLER'S GORGE
Mradi wa umeme wa ‘’STRIEGLER'S GORGE’’ uliasisiwa na marehemu baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere miaka 1970. Mwalimu Nyerere alianzisha wazo la kujenga mradi huu mkubwa ili kuondoa tatizo la umeme nchini lakini pia ili kuongeza tija ya uzalishaji viwandani. Ni...
Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji.
Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
Leo Julai 26, 2019 Mhe. Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji
Rais Magufuli aliwasili Rufiji akitokea Dar es Salaam akitumia treni ya reli ya TAZARA kwa kupitia Fuga na Kisaki
UPDATE:
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani...
bwawa la nyerere
bwawa la rufiji
bwawa la umeme rufiji
kenya
rais magufuli
selous
selous hifadhi ya taifa
tanesco
umemeumeme tanzania
uzinduzi bwawa la umeme
uzinduzi bwawa umeme rufiji
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu...
bwawa la nyerere
bwawa la rufiji
bwawa la umeme
bwawa la umeme rufiji
mradi bwawa la nyerere
stiglers gorge
tanesco
ujenzi bwawa la nyerere
umemeumeme tanzania
Maswali ya kujiuliza:
Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa?
Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa?
Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile solar tutafanyaje kama taifa ?
Je, uchunguzi umefanyika wakutosha na kugundua kwanini viwanda vingi...
It is arguably the Empire’s greatest legacy to conservation, the outrageous vision of a British poacher-turned-naturalist whose misanthropic cussedness would shape Africa’s largest wildlife sanctuary.
Stretching across a swathe of woodland savannah four-fifths the size of the Republic of...
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20,Upande wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji Rufiji – MW 2,115:
Hatua iliyofikiwa ni: kupatikana kwa mkandarasi wa mradi wa kufua umeme utokanao na nguvu ya maji katika Mto Rufiji...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.