umeme

  1. Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Jimbo la Peramiho

    UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI JIMBO LA PERAMIHO Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. JENISTA J. MHAGAMA ameendelea na Ziara Katika Kata ya Parangu Kijiji Cha Litowa. Mhe. Jenista Mhagama Katika Ziara Jimboni Peramiho...
  2. Natafuta kazi, mimi ni Mkandarasi wa umeme na Mechanical

    Habar wakubwa kwa Wadogo, Mimi hapa mbele yenu n mkandarasi (Registered Contractor) upande wa Umeme na Mechanical (Mitambo). Nimekuwa Registered mwaka jana. Kabla ya kuwa Mkandarasi nilikuwa ninafanya kazi za ukandarasi kwa kutumia company za rafiki zangu mbali mbali kwa muda wa Miaka 10...
  3. M

    Fundi Umeme na solar

    Habari! Kalibun kwa huduma za ufundi umeme na solar, tunafany design za taa mbali mbali za umeme. Tv show case na wirring zote kwa ujumla, tunafunga submitter aina zote. Tuna design taa mbali mbali za solar kam stree light, home lighting system, stand alone system na hudum nyingne za umeme na...
  4. Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  5. Tujikumbushe usajiri wa kiungo fundi mkata umeme sawadogo..

    Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi, Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe? Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro . Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
  6. Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli? Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
  7. M

    SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  8. Mbunge Sichalwe Aibana Wizara ya Nishati Kufikisha Umeme Kwenye Vijiji 20 Vilivyosalia

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA NISHATI KUFIKISHA UMEME VIJIJI 20 VILIVYOSALIA JIMBO LA MOMBA "Je, Serikali ina mpango gani wa kukamilisha zoezi la kuwasha umeme kwenye Vijiji vilivyosalia katika Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba...
  9. T

    Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  10. Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  11. Hatua muhimu kwenye kuweka wiring (umeme)

    Habari wakuu Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako. Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi, Hatua na mpangilio sahihi wa wiring sio tu kwa majengo mapya hata ambayo sio mpya. kusudi kuu la wiring...
  12. Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  13. TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  14. Tanzania Yatakiwa Kuwa na Vyanzo Vingi vya Umeme Ili Kufikia Megawati 10,000

    PROF. SOSPETER MUHONGO - TANZANIA IWE NA VYANZO VINGI VYA UMEME KUFIKIA MEGAWATI 10,000 ILI KUKUZA UCHUMI NA PATO LA WATANZNAIA Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mhe. Profesa Sospiter Muhongo ameshauri kupunguzwa bei ya umeme ili Watanzania wengi waweze kuutumia. Profesa Muhongo ameyasema hayo leo...
  15. Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

    Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO. Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu. Sio hilo...
  16. Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  17. S

    Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

    Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake. Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo. Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe. ============== Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
  18. Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  19. SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  20. Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…