Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.

Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.

Sio hilo tu, TPDC imeansisha ushirikiano na kampuni nyingine ya falme za kiarabu.

Waarabu wanauziwa kampuni zetu tu.

=====
tanesco.jpg

Masdar Signs Agreement with Tanzania’s TANESCO to Develop 2 GW Renewable Energy Capacity

Masdar, one of the world’s leading renewable energy companies, announced that it has signed an agreement with Tanzania Electric Supply Company Ltd. (TANESCO) related to the development of renewable energy projects with a total capacity of up to 2 gigawatts (GW).

Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar and Maharage Chande, Managing Director of TANESCO, signed the Joint Development Agreement (JDA) on the sidelines of the Tanzania Energy Congress in the presence of Hon. January Makamba, Minister for Energy for Tanzania. The JDA envisages the establishment of a co-owned joint venture (JV) company by the two organizations to progress the project development.

Maharage Chande, The Executive Director of TANESCO, said: “The agreement we are signing today will bring about a big revolution in the development of renewable energy in the country. Through the first phase of the collaboration, we expect to generate approximately 600 megawatts, and we will continue with other projects until we reach 2,000 megawatts.”

Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar, said: “Masdar and TANESCO are working together to support Tanzania’s sustainable development and to provide a secure, clean source of energy for the people of Tanzania. The signing of this agreement demonstrates Masdar’s commitment to the Tanzanian market and to the nation’s energy transition, supporting the target to reach 5,000 MW capacity by 2025. We look forward to working with TANESCO to develop this ambitious program and to provide a clean pathway for growth for Tanzania.”

Through the JV, the two companies are initially targeting the development of renewable energy projects with a capacity of about 600 megawatts (MW) starting with solar photovoltaic (PV) and onshore wind. The JV will further explore the development of projects with a total capacity of at least 2,000 megawatts.

TANESCO, the sole provider of electricity in Tanzania, is looking to add more renewable energy sources to the national grid to meet the country’s growing demand for power and increase energy access. The Tanzanian government is targeting an electrification rate for the entire country of 75 percent by 2035.

Masdar News
 
Tukiwaambia baadhi ya nyie wagalatia wa Bongoland ni majuha licha ya vyeti vyenu vya point 7 mnaona tunawaonea. Nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja akijitapa ni msomi wa Harvard Law School, daaah! Nimechoka kabisa namna msomi wa Harvard alivyo na uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kijinga.

Sasa umeme wanawazalishia nyie, ajira kwa watu wenu zitatengenezwa mbali ya kodi mtayolipwa. lakini pia, hiyo miradi ya kuzalisha umeme mbona ipo kibao Tanzania. Ila shida yako wewe ni pale mzalishaji anapokuwa mwarabu tu? Seriously pitieni upya mtaala wenu wa Sunday school, mnafundishwa ujinga zaidi kuliko mafundisho ya dini yenu.
 
Tukiwaambia nyie wagalatia wa Bongoland ni majuha licha ya vyeti vyenu vya point 7 mnaona tunawaonea. Nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja akijitapa ni msomi wa Harvard Law School, daaah! Nimechoka kabisa namna msomi wa Harvard alivyo na uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kijinga.

Sasa umeme wanawazalishia nyie, ajira kwa watu wenu zitatengenezwa licha. lakini pia, hiyo miradi ya kuzalisha umeme mbona ipo kibao Tanzania. Ila shida yako wewe ni pale mzalishaji anapokuwa mwarabu tu? Seriously pitieni upya mtaala wenu wa Sunday school, mnafundishwa ujinga zaidi kuliko mafundisho ya dini yenu.
Umemaliza?
 
UNASEMA UNAZALISHA UMEME WA GAS...PAAP UNAANZA KUJENGA BWAWA LA NYERERE.. hujakaa sawa unaitaa waarabu wazalishe umeme wauze au wawauzie tanesco alafu watuuzie sisi?? haya ndo yale ya IPTL ya kina rwegemalilaaa. NCHI IMEJAA UHUNIII KILA KONA
 
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.

Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.

Sio hilo tu, TPDC imeansisha ushirikiano na kampuni nyingine ya falme za kiarabu.

Waarabu wanauziwa kampuni zetu tu.

=====
View attachment 2662153

Masdar Signs Agreement with Tanzania’s TANESCO to Develop 2 GW Renewable Energy Capacity

Masdar, one of the world’s leading renewable energy companies, announced that it has signed an agreement with Tanzania Electric Supply Company Ltd. (TANESCO) related to the development of renewable energy projects with a total capacity of up to 2 gigawatts (GW).

Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar and Maharage Chande, Managing Director of TANESCO, signed the Joint Development Agreement (JDA) on the sidelines of the Tanzania Energy Congress in the presence of Hon. January Makamba, Minister for Energy for Tanzania. The JDA envisages the establishment of a co-owned joint venture (JV) company by the two organizations to progress the project development.

Maharage Chande, The Executive Director of TANESCO, said: “The agreement we are signing today will bring about a big revolution in the development of renewable energy in the country. Through the first phase of the collaboration, we expect to generate approximately 600 megawatts, and we will continue with other projects until we reach 2,000 megawatts.”

Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar, said: “Masdar and TANESCO are working together to support Tanzania’s sustainable development and to provide a secure, clean source of energy for the people of Tanzania. The signing of this agreement demonstrates Masdar’s commitment to the Tanzanian market and to the nation’s energy transition, supporting the target to reach 5,000 MW capacity by 2025. We look forward to working with TANESCO to develop this ambitious program and to provide a clean pathway for growth for Tanzania.”

Through the JV, the two companies are initially targeting the development of renewable energy projects with a capacity of about 600 megawatts (MW) starting with solar photovoltaic (PV) and onshore wind. The JV will further explore the development of projects with a total capacity of at least 2,000 megawatts.

TANESCO, the sole provider of electricity in Tanzania, is looking to add more renewable energy sources to the national grid to meet the country’s growing demand for power and increase energy access. The Tanzanian government is targeting an electrification rate for the entire country of 75 percent by 2035.

Masdar News
Safi sana. Tunataka maendeleo
 
Back
Top Bottom