Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Jimbo la Peramiho

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,899
944

UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI JIMBO LA PERAMIHO

Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. JENISTA J. MHAGAMA ameendelea na Ziara Katika Kata ya Parangu Kijiji Cha Litowa.

Mhe. Jenista Mhagama Katika Ziara Jimboni Peramiho ameambatana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea pamoja na Wakuu wa Idara.

Pia, Mhe. Jenista Mhagama ameshiriki Misa ya Kumuombea Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN, Mhe: Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waheshimiwa Madiwani.

Mhe. Jenista Mhagama Amezindua Mradi wa Umeme na Kuweka Nguzo Katika Msikiti wa Litowa, Ametoa Misahafu Sana (7) na Kanzu kwa Shekhe wa Msikiti wa Litowa, Amegawa Wheel Chairs Saba (7) na Mashuka, Mablanketi, Vifaa vya Kujifungulia Akina Mama pamoja na Nguo za Watoto Wachanga, Amegawa Vifaa vya Michezo (Jezi na Mipira) Kwa Timu Za Mpira Tatu za Kijiji Cha Litowa.

Jimbo la Peramiho lipo Imara na Kazi Inaendelea,,
Mama Yupo Kazini
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.56.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.56.jpeg
    103.1 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.55.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.55.jpeg
    105.1 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.54(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.54(1).jpeg
    88 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.50(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.50(2).jpeg
    68.8 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.50(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.50(1).jpeg
    109.2 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.43.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.43.jpeg
    112.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.44.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.44.jpeg
    97.4 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.52(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-12 at 07.49.52(1).jpeg
    109.5 KB · Views: 2
Anatembeza rushwa kama kawaida yake uchaguzi ukikaribia,huyu mama alimfanyia fitina mwamba mmoja anaitwa L.K.Komba alitaka Kumng’oa huko jimbo la Peramiho na kwenda kupewa ukuu wa wilaya huko Kalambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom