umeme

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga - Mtwara na Lindi Wapate Umeme wa Kutosha

    NAIBU WAZIRI KAPINGA - MTWARA & LINDI WAPATE UMEME WA KUTOSHA Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amelihimiza Shirika la Umeme Tanzania - (TANESCO) kufanya jitihada mbalimbali kuhakikisha Mikoa ya Mtwara na Lindi inapata umeme wa kutosha. Kapinga ameyasema hayo leo September 14,2023 wakati...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kipindi tatanishi cha umeme ndio kinaanza rasmi, umejiandaaje?

    Tusalimiane Ivo Ivo tu hakuna namna. Kila mwaka inapofika mwezi wa kumi balaa ndio huwa linaanza. Kama ni kipenga ndio kinapulizwa rasmi kuashiria kuwa goma ndio linaanza. Kama kujiandaa ndio kumefika Sasa. Kipindi hiki huwa hakuna utulivu ni vurugu tupu kila kona, taa za mchina na vibatari...
  3. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  6. Transistor

    JamiiForums Tanzania Punda na Ng'ombe wanaweza kukuzalishia umeme

    UZALISHAJI WA NISHATI YA NGUVU KAZI (UMEME AU MZUNGUKO) KUTUMIA WANYAMA.. Katika dunia hakuna nishati ya bure zaidi ya nishati upepo au nishati jua, japo hata nishati hizo, huhitaji vifaa vyenye gharama ili uweze kuvuna kile cha bure. Ila pia tukumbuke wanyama wanaweza kukupa nishati hizo...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa umeme na maji tatizo liko wapi hasa?

    Ni upungufu wa maji? Ni ongezeko la mahitaji? Ni uchakavu wa miondombinu? Ni upungufu wa rasilimali watu? Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ? Wizara husika, TANESCO na idara za maji waeleze kwa upana tatizo ni nini hasa ili raia waelewe na wachangie mawazo ya kujikwamua kutoka matatizo...
  9. The Eric

    JamiiForums Tanzania Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote. Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena. Tunashindwa kufanya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nishati Lutheran (DKK) Investment ya Ijangala, Makete Yaingiza Umeme KW360 Ktk Gridi ya Taifa

    MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu uliokamilika. Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha...
  12. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  13. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Suala la nishati ya mafuta nchini lishakuwa janga la Taifa

    Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta Na hiyo foleni ya...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme inaweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme?

    Habari. Nasikia zamani Dar watu binafsi hawakuruhusiwa kumiliki daladala za abiria. Usafiri ilikuwa shida sana. Baadaye serikali ikaja kuruhusu na ahueni ya usafiri ikapatikana. Serikali kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme. Huku miundombinu ya umeme iwe kama barabara zinavyotumika na...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  16. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Biteko kaanza na kutukatia umeme

    Naibu Waziri Mkuu ni Waziri wa Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo. Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

    Habari wana jukwaa, Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana. Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo. Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi, Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Miradi mipya kuzalisha umeme

    Nimesikia mara kwa mara kuwa, Bwawa la Stiglers likikamilika tutakuwa na umeme wa ziada hata wa kuuza. Sasa nilisikia kupitia TV TANESCO wanatangaza mpango wao wa kuanza ujenzi wa mradi mpya wa maji huko Kagera/Kakono wa mabilioni ya pesa nikashindwa kuwaelewa Naomba ufafanuzi kwa anaye elewa
Back
Top Bottom