Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili
====
Pia soma: Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?
Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo...
Ni kweli kwamba kuna shida ya umeme Tanzania ila wilaya hii inaongoza kwa kukatiwa umeme, unaweza kuona siku nzima hakuna umeme au umeme unaletwa usiku wa manane nao sio zaidi ya masaa matatu au manne.
Kinachonishangaza halmashauri ya Makambako na Mbeya mjini umeme unakuwepo but hii halmashauri...
Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi..
Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure.
Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme.
Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme.
Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
TPA wameshindwa kuendesha bandari na sasa imekodishwa kwa wawekezaji.
SGR imekwama kukamilika kwa wakati kwa nchi kukosa wasimamizi wa ujenzi wenye ujuzi wanaothamini ukamilikaji wa miradi kwa wakati kuepusha hasara au kuongezeka kwa gharama
Mwendo kasi wamejenga barabara nyingi huko DSM...
Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limesaini mkataba wa kushiriki katika kufadhili ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme wa Kakono Nchini Tanzania.
Kupitia makubaliano hayo Umoja wa Ulaya (EU) na AFD zitachangia kwa pamoja Euro Milioni 146 ambayo ni karibu nusu ya jumla ya gharama ya Euro Milioni...
Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi.
Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
Huku bandari, pale bashite, kulee genge limetulia,
Umeme kukosa mteteaji ndio mpango wenyewe,
Wateteaji wako bize kukimbizana na Bashite,
Na wengine wako bize wakikosoa mikataba.
Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk.
Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana.
Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi.
Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.