umeme

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika kwa Umeme

    Hii kero ya kukatika kwa umeme, kwanini isifike wakati tuangalie uwezekano wa kutengeneza miundombinu ya uzalishaji wa umeme wa jua kwa ukubwa au vyanzo vingine mbadala kuliko kutegemea maji ambayo hupungua na kuongezeka.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

    Kiongozi yeyote ili kufikia malengo yake lazima awe na Mikakati. Mojawapo ni uzalishaji wa umeme WA kutosha , ili mitandao ya kukusanya Kodi iwe na ufanisi unaotakiwa, Kwa kutumia vishikwambi kwenye maduka ya mtaani nk. Pia uzalishaji mwingi WA viwandani iwe vikunwa au vidogo inahitaji umeme...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Juzi Mama akiapisha wateule umeme haukukatwa, leo Maulidi umekatwa

    Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  5. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda bila Umeme wa bei nafuu ni ndoto ambayo hatutaacha kuiota

    Gharama nafuu za umeme ni sababu muhimu inayoweza kuwavutia wawekezaji wa viwanda. Gharama za umeme zina athari kubwa kwa uendeshaji wa viwanda, na viwanda vinavyotumia umeme kwa wingi vinaweza kuwa na gharama kubwa za nishati. Hivyo, gharama za umeme zinapokuwa chini, nchi inaweza kuwa marudio...
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Maeneo saba yakatikiwa na umeme Urusi na kuachwa kwenye giza baada ya kupigwa bomu na Ukraine

    Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao.... Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone. Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
  12. King Nkondo

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme. Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
  13. Exile

    JamiiForums Tanzania Kwa Wananchi walio serious hili suala la umeme Tanzania lingetosha kuitoa CCM madarakani

    Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo? Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa. Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali...
  14. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ni moja ya mambo yaliyofanya CCM ichukiwe jiji la Dar Awamu ya Nne

    Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

    Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote. Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

    Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu. Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uongozi TANESCO hayana maana kama bado umeme unaendelea kukatika

    Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu. Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mgao wa umeme

    Wadau Mimi nina mashaka Sana na suala la mgao/upungufu wa umeme? Hivi Kuna mgao mkali au kuna upungufu mkali? Kama hapa Mwanza Mjini ratiba haileweki usiku au mchana. Nimekaa wilaya ya Magu umeme kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni wanakata. Huu Ni mfano hata Mwanza Katikati ya Jiji sehemu...
Back
Top Bottom