Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili!

Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho wake ni mbaya kuliko kwa sababu kanatumikishwa na maroho!


Tukirudi kwa hawa CCM, Hiki chama ni roho kamili ya kuleta umasikini nchini, hawana tofauti kabisa na mfano huo!

Kwa sababu, kila walichowahi kukifanya kwa maana ya kubinafisisha mali za nchi hii, walisema kwa lugha ile ile na ambayo inasikika leo kwamba, itakuwa dawa ya umasikini na nchi itaondojana na utegemezi,

Wakati Gas wanapewa wawekezaji, tuliambiwa kuwa, nchi yetu uchumi utafumka ghafula ndani ya miaka mitatu tu na itakuwa nchi ya kwanza kwa uchumi kwa nchi za Africamasharik na Kati, lakini leo iko wapi??

Leo tena wanaturudisha kule kule kwenye kusema, Bandari zetu akipewa DP word, tutasahau umasikini

Unajiuliza, mambo haya yatakuwa hivi mpaka lini?

Tusipoangalia, hawa ccm watakuja kutubinafisisha sisi wananchi kwa lugha ile ile ya kwamba ndo itakuwa mwisho wa umasikini wetu!

Hawajiulizi kule walikotutia hasara?

Gas tumewapa wageni, Madini kadhalika, baadhi ya maeneo ya hifadhi zetu pia, na sasa Bandari zooote nchini,

Hili tunapaswa kukataa kiwimawima, haiwezekani!
 
Upumbavu wa viongozi wetu ni kuja kuturopokea presentation wanazofanyiwa na hao 'wawekezaji'.

Mbumbumbu Mbarawa anafanya ujinga huohuo, amepewa takwimu na DPW ya jinsi mambo yatakavyokuwa mazuri bandarini na yeye amezipokea kama facts. Anaziongea kama facts. Sijawahi kuona profesa mpuuzi kama huyu mtu.
 
20230604_001001.jpg
 
Back
Top Bottom