umeme

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na joto la ardhini kikikamilika kitazalisha Megawati 70

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole. Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  3. Nyoka kibisa

    JamiiForums Tanzania Je, TANESCO wanaruhusu kugawana umeme kwa nyumba za taasisi?

    Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
  4. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya Diagnosis ya gari zote(Ndogo, Kubwa, mitambo, gari za umeme)

    Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine, Special functions zaidi ya 30 Active test Immobilizer and Key Programming Bidirectional Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet. Software yake ni 500,000...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Matumizi ya umeme Dar na Pwani ni zaidi ya nusu ya matumizi ya umeme Tanzania nzima

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Chalinze kujionea kinachoendelea kwenye mchakato huo. Baada ya kutembelea mradi Dkt. Biteko ameweka wazi kuwa mradi huo umefikia Asilimi 84 na unatarajiwa kukamilika...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kero ya Umeme, barabara yasimamisha msafara wa Chongolo. Atoa maagizo

    Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara. Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguzo za umeme za Miti

    Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeme wa REA vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba usitolewe kwa ubaguzi

    Ni miaka takribani sita tangu mradi wa umeme kwenye baadhi ya vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba upite lakini wananchi walio wengi mpaka sasa hawajaunganishiwa umeme. Vijiji vilivyoathirika zaidi ni kijiji cha Manyora, Katwelelo na Muyenje. Kijiji cha muyenje kiliathirika zaidi kwa...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua ratiba ya mgao wa Umeme!

    Nchi ni ngumu sana hii.
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

    Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

    Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu. Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme? Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Biteko Awasha Umeme

    MHE. DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI - NGARA ✔️ AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA WA KUWASHA UMEME VIJIJINI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme katika baadhi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi. Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma. Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika kwa Umeme

    Hii kero ya kukatika kwa umeme, kwanini isifike wakati tuangalie uwezekano wa kutengeneza miundombinu ya uzalishaji wa umeme wa jua kwa ukubwa au vyanzo vingine mbadala kuliko kutegemea maji ambayo hupungua na kuongezeka.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukakusanya kodi umeme ukiwa wa Kibatari

    Kiongozi yeyote ili kufikia malengo yake lazima awe na Mikakati. Mojawapo ni uzalishaji wa umeme WA kutosha , ili mitandao ya kukusanya Kodi iwe na ufanisi unaotakiwa, Kwa kutumia vishikwambi kwenye maduka ya mtaani nk. Pia uzalishaji mwingi WA viwandani iwe vikunwa au vidogo inahitaji umeme...
Back
Top Bottom