Shoking: South African taps run dry after power shortages

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
1687379053333.png

Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji.

Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya Johannesburg na Pretoria.
---

Much of the domestic water supply in South Africa depends on electricity to pump it from the source to the vast high plain on which the cities of Johannesburg and Pretoria sit.

South Africa's recent electricity woes - with regular lengthy scheduled blackouts - have had a knock-on effect on the supply of water.

"All of our stations, they need electricity, they need power. You have to pump water everywhere where it is needed," says Sipho Mosai, the head of state-owned Rand Water, one of the country's main water providers.

"Electricity is really at the heartbeat of what we do and if we don't have it externally, at least for now, it becomes a problem."

"Some days I don't have both water and electricity, and this can be for days at a time. It makes daily life insufferable," says Zizi Dlanga, a 35-year-old private wealth manager.

Reforms are urgently needed to resolve the energy crisis and tackle structural unemployment
Newly released data shows the South African economy grew by 0.4 percent between January and March this year. Crippling power cuts, volatile commodity prices and a challenging external environment have contributed to the country’s weak growth performance.

By year-end, we project real GDP growth to fall sharply from last year. Though we expect growth to pick up again in 2024, the pace is too slow to reduce unemployment, which at 32.9 percent remains close to an all-time high.

The country has faced rolling blackouts after years of mismanagement of the state-owned utility, Eskom, prompting the authorities to ease the registration process and licensing requirements for energy production to encourage private sector investment. The government also announced a three-year debt relief arrangement to help Eskom establish its commercial viability and mitigate the energy crisis.

Additional far-reaching reforms are needed to achieve job-rich, inclusive, and greener growth. These include improving the country’s energy and logistical constraints, reducing barriers to private sector investment, addressing structural rigidities in the labor market, and tackling crime and corruption.

The country’s elevated public debt level—one of the highest among emerging markets—limits the government’s ability to respond to shocks and meet growing social and development needs. Stabilizing the country’s debt and creating room in the budget for targeted social spending and public investment will require reducing the government wage bill and transfers to state-owned enterprises.

Like elsewhere, persistently high food and energy prices have pushed up inflation and raised inflation expectations. Monetary policy normalization should continue to keep inflation expectations anchored and bring down headline inflation to the midpoint of the South African Reserve Bank’s 3–6 percent target range.
 
maji.jpg

Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji.

Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya Johannesburg na Pretoria.

"Umeme ni muhimu katika mapigo ya moyo ya kile tunachofanya na ikiwa hatuna, angalau kwa sasa, inakuwa shida."

"Siku nyingine sina maji na umeme, na hii inaweza kuwa yasije kwa wakati. Inafanya maisha ya kila siku kuwa magumu," anasema Zizi Dlanga, meneja wa utajiri wa kibinafsi mwenye umri wa miaka 35.

Anaishi katika nyumba ya vyumba viwili eneo la watu matajiri Kaskazini mwa Johannesburg pamoja na dadake ambaye ni daktari mwanafunzi, ambapo huweka akiba ya maji yanapopatikana na kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi kuoga.

"Bili yangu ya maji inakaa sawa hata wakati hamna maji. Ninahisi kuchanganyikiwa, sina njia mbadala ya maji [kama kisima] ambayo inaweza kuniwezesha kustahimili hali hii," anaongeza.

Kuna mamilioni ya Waafrika Kusini ambao wameishi bila kuwa na maji majumbani mwao kwa miaka mingi, kukatika kwa maji mara kwa mara linaathiri sehemu kubwa hata kule ambako wasiokuwa na mabomba wamekuwa wakipata maji.

Ukosefu wa umeme umeongezeka kutokana na miundombinu duni, ambayo imesababisha uvujaji mkubwa pamoja na matatizo ya maji taka, na usambazaji wa maji ambayo hayawezi kukidhi mahitaji.

Lita milioni sabini za maji yaliyotibiwa, safi na ya kunywa hupotea kila siku kwa sababu ya uvujaji wa maji ambayo ni ya kawaida katika mfumo wa maji unaobomoka.

Upotevu mwingi wa maji umehusishwa na manispaa zinazoendeshwa vibaya ambazo hazifanyi matengenezo kwa sababu ya ufisadi na wizi, lakini pia hili limechangia mfumo wa maji taka kutosimamiwa vizuri na hivyo kuhatarisha afya ya umma kutokana na magojwa ya mlipuko ambapo watu 29 walikufa wiki chache zilizopita katika kitongoji cha Hammanskraal kutokana na kipindupindu.

Serikali inakiri kuwepo kwa tatizo hilo na kusema imepeleka baadhi ya manispaa mahakamani kwa tuhuma za uzembe.

=======

The peace of a normally tranquil suburban road near South Africa's capital, Pretoria, is being shattered by the sound of drilling.

These are not prospectors looking for a new source of the country's mineral wealth, but workers digging for an arguably more precious resource: water.

"I am tired of not knowing when we will have water and when we won't," the frustrated homeowner says.

"Having a borehole means we won't have to depend on the government so much, it's what's best for my family."
Much of the domestic water supply here depends on electricity to pump it from the source to the vast high plain on which the cities of Johannesburg and Pretoria sit.

South Africa's recent electricity woes - with regular lengthy scheduled blackouts - have had a knock-on effect on the supply of water.

"All of our stations, they need electricity, they need power. You have to pump water everywhere where it is needed," says Sipho Mosai, the head of state-owned Rand Water, one of the country's main water providers.
"Electricity is really at the heartbeat of what we do and if we don't have it externally, at least for now, it becomes a problem."
"Some days I don't have both water and electricity, and this can be for days at a time. It makes daily life insufferable," says Zizi Dlanga, a 35-year-old private wealth manager.

She lives in a two-bedroom apartment in an affluent suburb in the north of Johannesburg with her sister who is a trainee doctor. She now stocks up on water when it is available and goes to a gym to take a shower. "My water bill stays the same even with all the cuts. I feel frustrated, I don't have access to water alternatives [like a borehole] that would make this bearable for me," she adds.

The lack of electricity has exacerbated issues created by poorly maintained infrastructure, which has led to vast leaks as well as sewage problems, and a supply of water that cannot meet demand.

Seventy million liters of treated, clean, drinkable water are lost every single day because of leaks that are endemic in the crumbling water system.

Most of the water wastage identified has been linked to badly run municipalities that are not investing in maintenance, partly because of corruption and theft. This has also meant that sewage plants are not cleaning the water in the way that they should and this has had public health consequences.

In just a few weeks in Hammanskraal, a township outside Pretoria, 29 people were killed by cholera that had been found in the water supply there. The outbreak has been linked to substandard water purification practices.

When it comes to solutions, drilling private boreholes is only an option for the very wealthy, as they come with a price tag of $7,000 (£5,000). It also serves to highlight the huge inequalities in South Africa.

The government acknowledges the problem and says it has taken some municipalities to court over allegations of negligence.

BBC
 
View attachment 2664827

Hawa South Africa si wana umoja wao wa BRICS na wao ni founder kumbe wana shida ya umeme na maji
 
Ramaphosa yuko bize na vita ya ukraine
 
Back
Top Bottom