Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

Wizara ya Afya Tanzania

Official Account
Oct 1, 2020
58
124
TAARIFA KWA UMMA - TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA SH...jpg


TAARIFA KWA UMMA - TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA SH...jpg


TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
 
It is too cheap kwa mamlaka za juu za wizara kutoa taarifa ya ovyo ovyo kwa jambo ambalo lingepaswa kutolewa taarifa na maamuzi siku ile ile na mganga mfawidhi wa hospitali husika.

Watanzania kwa sasa wanataka kusikia taarifa kuhusu hali ya Corona hapa Tanzania, maana karibu hospitali zote za rufaa za mikoa na kadha zinaripoti kimya kimya uwepo wa wagonjwa na vifo vinavyotokana na dalili zile zile za Corona.

Acheni blah blah za kututoa kwenye mambo ya msingi na kutuletea spinning.
 
Au tuambieni kuhusu Korona, . Hili La Mlinzi ,RMO angeweza Kulimaliza .

kuhusu Tuambiwe Mapema tuchukue tahadhari mapemaa, watu tunapumuliana tu kwenye daladala Bila kuvaa Barakoaa
 
Hawa Suma walizungumzwa humu kuhusu utovu wao wa nidhamu na kujitia ubabe.
 
Hawa walinzi wa suma JKT wengi wao wanamatatizo yakisaikolojia hawajui wajibu wao kabisa wamejaa usela mavi wakupiga piga raia wakijiona ni wanajeshi.
 
Back
Top Bottom