ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

    Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu. Huwezi ukawa na Wahuni...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Other name? Siyo ‘Middle name’? Sex? Marital Status? Tribe? Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika. Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé . Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anapopingana na Dhana ya Ulinzi Shirikishi

    Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa: "ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika." Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
  5. JamiiForums Tanzania WeChat wasitisha usajili wa watumiaji wapya ili kuongeza ulinzi wa taarifa

    Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo. Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo yao ya ulinzi ambao utakamilika mwezi Agosti. Taarifa ya Tencent imesema kuwa maboresho yanafanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama iliyompa silaha muuaji wa Lemax Bar iwajibike

    Moja kati ya sherehe zake akiwa hai Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021. Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani...
  8. JamiiForums Tanzania Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine: Wizara ya Ulinzi yatetea uamuzi wa Wanajeshi wa Kike kuvaa viatu vya mchuchumio

    Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo. Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

    Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Tushare experience, Ulinzi na Usalama

    Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania. NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  13. JamiiForums Tanzania Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  15. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia

    Rais wa Kenya Mhesh Uhuru Kenyatta leo Mei 26, 2021 katika Ikulu ya Nairobi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia Mwana Mfalme Faisal Bin Farhan AlSaud Viongozi hao walijadili na kukubaliana kuongeza ushirikiano wa nchi zao kwenye maeneo ya Ulinzi na...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa adui kadhamiria kutenda maovu

    Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake! Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Jipatie kombati ya kijeshi ya ngozi

    Kombati za kijeshi leather pure zinapatikana kwa Bei ya rejareja na jumla. Rejareja 65000 Jumla 4000 kuanzia pair 10. Kwa Dodoma mjini tunakuletea bure na Nje ya Dodoma mjini na mikoani tunatuma kwa gharama za mteja kwa uaminifu mkubwa. Kununua tupigie 0762967368/0655325457 au fika ofisi ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  19. JamiiForums Tanzania BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

    Habari kamili hii hapa ====== Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

    Kwa wale mliofatilia tukio la kukabidhi hati Ikulu Magogoni kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, mtakuwa mlisikia kuwa Balozi mpya wa Italy nchini ni mbobezi wa masuala ya 'Cyber Security' Je hii ni diplomatic gesture? Kwamba viongozi wetu wakubwa wameonekana kulalamika dharani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…