Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
Other name? Siyo ‘Middle name’?
Sex?
Marital Status?
Tribe?
Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika.
Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé .
Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye resume?
Labda ni huu ushamba wangu tu! Ila nakumbuka vizuri sana kwenye capstone course nilipofundishwa jinsi ya kuandika resumé, hizo taarifa hupaswi kuziweka kabisa hapo!