Tuendelee kutia bidii bandugu....
Horticulture earnings in the first eight months of the year rose to Sh101 billion from Sh97 billion in similar period last year, as more countries opened up their economies on easing of Covid-19 restrictions.
The earnings were boosted by higher demand of...
Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao.
Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi...
Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi
Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili la #CoronaVirus. Mtaalamu wa Virusi, Margarita del Val anasema inawezekana kuwa ikawa ni wimbi la...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa akijitahidi kulitekeleza hilo kwa vitendo kwenye kampeni zake kwa kuleta kweli wali na kuku, na wananchi...
Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee!
Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.
Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki.
Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbarikwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza akamatwa
Ujasiri wake ulipelekea kutengenezwa kwa filamu inayoelesea kisa hicho inayofahamika kwa jina la "Hotel Rwanda"
Paul anashukiwa kwa mashtaka mbalimbali...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.
Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
Ukitaka kutawala watu wafanye wategemezi kwako. Kutegemea mtu ni kuuza uhuru wako, inakupasa kufanya yote anayokutaka ufanye ili ulipe deni lako au kupata msaada wao.
Inasikitisha sana mpaka leo kuna waafrika wanao wategemea na kuwatukuza wazungu wenye nia moja tu, ya kututawala na kutunyonya...
Watu walio nje ya nchi, hasa waafrika walioko Marekani na Ulaya wamekuwa watu wanaotoa msaada kwa familia zao zilizobaki Afrika kwa kuwatumia pesa na vitu mbalimbali kila wakati.
Kutokana na changamoto ya COVID19 na hatua mbali mbali zilizochukuliwa ili kuepuka maambukizi zaidi ya janga hilo...
Umoja wa Ulaya unaandaa vikwazo dhidi ya maafisa wa Belarus ambao walihusika na ukandamizaji unaofanywa baada ya uchaguzi dhidi ya waandamanaji ambao umesababisha umwagikaji wa damu.
Idhini ya kutayarisha vikwazo ilitolewa na mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya...
WanaJF Inakuwaje!
Watafiti wa maswala ya wanyama Kaskazini mwa ulaya hasa skendinevia/Nordic wameshangazwa sana na tabia za wanyama wengi wanaoliwa (Prey) kuhamia mijini kutoka porini na kufanya Makazi yao ya kudumu.
Hii ni kutokana na usalama wao. Wanaona wakiwa mjini karibu na binadamu...
Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya,
Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael...
Wasalaam, Jamii Forums.
Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.
Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani...
Hua nawauliza watu ni vitu gani tangible Magufuli amefanya cha maana kwa miaka 5 iliyopita chenye kuboresha au kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja, utajibiwa tu flyover, ndege, Stiglers, SGR na kuhamia Dodoma. Unashindwa kuelewa hivi vitu vimewasaidiaje wananchi wa kawaida?
Kule kanda ya...
UKISIKIA duniani kuna mambo basi malizia kwa kusema ‘tembea ujionee’. Wakati uchimbaji makaburi ikionekana ni kazi ya ajabu hata ikiwa ngumu kuwashawishi vijana wa kileo kujihusisha nayo wapo walioiona kuwa ni fursa kwa kuianzishia mashindano.
Kazi hiyo imeanza kujizolea umaarufu mkubwa katika...
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana.
2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge live.
3. Hakuna Ulaya ambayo imefungia...
Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.