Corona Afrika ya Kusini, Marekani na Ulaya ilishaisha, wanatishia ili watu wasiende (ni uchoyo hawataki wageni)

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Nimeshtuka, Wazungu ni wajanja, wanatuzuga wana Corona kumbe haipo kwa kiwango kinachotangazwa, ili tu wahamiaji wakate tamaa, ukweli ni kwamba Corona ilishaisha mfano hai watu waliandamana kwa maelfu lakini hakuna aliyekufa, Wazungu fungueni mipaka tuje.

Asante.
 
Fanya utafiti wa kutosha uboreshe uzi wako huu si dhani kama kuna mtu hapendi uchumi wake ukue
na ukuaji wa uchumi ni pamoja na muingiliano wa watu kwaiyo sidhani kama corona inatumika kwa namna hiyo corona ipo na ni hatari endelea kunawa mikono na chukua tahadhari zote zinazo tolewa na wataalamu wa afya
 
Ila wazungu uchumi wao upo imara mfano Marekani ana akiba ya mafuta ya kutumia nusu Marne(miaka hamsini),sasa hawawezi kuyumba ila wanahofu wageni kuwa ndiyo watayumbisha wakati si kweli
 
Back
Top Bottom