Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,808
12,191
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistleblower
 
CORONAZ

Member
Apr 26, 2020
68
138
Lissu shikilia hapo hapo mpaka waombe pooo

Unaweza kuwa unampenda sana Lisu ila huu mziki wa mwaka huu si wa kitoto kama wengi wanavyojifariji.

Vyama vingi sasa havina fedha, sheria zimeshatungwa...ukitukana unakamatwa, wagombea wengi afya mgogoro.. hata kwa ndege hawawezi kuizunguka nchi kuomba kura...sera hawana..maana karibu vyote vilivyokuwa vinalalamikiwa vimefanyika... majimbo mengi ya upinzani hakuna kilichokifanya ( na wao wanajua).

UKIACHA JAZBA UKATAFAKARI KWA KINA...UTAKUBALIANA NAMI.
 
Barakoa

JF-Expert Member
Apr 11, 2020
658
1,174
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu...
Sasa mkuu Kama hizo fedha sitakuja kwa staili ya kununua bidhaa hauoni kuwa itakuwa faida kwa taifa maana litakusanya Kodi yake maradufu ? Na kama sitakuja kwa njia ya kununua bidhaa hicho chama cha siasa kitanufaikaje na hizo hela ? Labda kama kuna chama kinauza hizo bidhaa.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,366
35,136
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu..
Haya Mr. "Brower"

Matetezi ya Magufuli lugha hawajui, matumizi sahihi ya herufi hawajui. Yani hovyo tu! Sasa ukiandika ripoti yako nani atasoma kama utaweka ujinga wa aina hiyo?
 
The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,460
12,763
Rais awe magufuli ama awe nani bado mataifa ya magharibi ndio yanaiendesha.

Makusanyo ya nchi hii hayawezi kuendesha hii nchi. Ccm imetengeneza mfumo wa watu kutokulipa kodi ili waipigie kura.

Zaidi ya 40% ya pesa inayoendesha nchi hii inatoka magharibi, ni mazwazwa tu ambao wanaweza kuamini wanachoambiwa na wanasiasa kua kila kitu tunafanya kwa pesa zetu za ndani.

Ila kwa kua wafuasi wengi wa ccm ni mazwazwa hilo haliwapi shida.
 
Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
6,675
7,402
Lissu wananchi tutamchangia, kuhusu matusi nazani hizo sheria si lolote mbele ya yesu wa lugola make ndo mtukanaji mkuu, tunataka maendeleo entire z country sio maendeleo ya sehemu chache za kikanda, na mtu sahihi wa kusambaza maendeleo nchi nzima ni lissu pekee!
 
FACTSFIRST

Senior Member
Dec 6, 2019
191
290
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistle Brower

Hofu. Wivu. Kuchanganyikiwa. Kupoteana!

Hivi safari hii tu ndio mnagundua kuna hela huwa inaingia toka nje kuja kwenye uchaguzi wetu mkuu?

Mwaka 2015 Chama tawala cha China kiliipa CCM pesa nyingi za kununua tech ya ku hack na kuiba matokeo mbona hamkusema?

Chadema na TL itawapa kichaa safari hii. Jiandaeni Ki psych. Acheni kupiga ramli.

MNAONDOKA!

Na hamtajua kitakachotokea mpaka mkanshindwa hata kuiba na kutangaza kwa nguvu kama kawaida yenu.

THIEVES!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
114,449
84,053
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistle Brower
Mtahangaika sana mwaka huu, na hapo bado sana ndiyo gemu linaanza
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
9,698
20,312
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistle Brower
Ila mnazopora CCM kutoka BOT wakae kimya??? Mnazopokea kutoka China na Vietnam wakae kimya eeeh????

Na bado! Lazima mtoke madarakani mwaka huu. Mungu kawakataa na shetani kawakumbatia. Mnalo mwaka huu!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Top Bottom