ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuuziwa chanjo ya COVID-19 kwa bei ghali mara mbili ya nchi za Ulaya

    Afrika Kusini inatarajiwa kununua dozi za chanjo ya virusi vya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa bei mara mbili na nusu zaidi ya nchi nyingi za Ulaya. Afrika Kusini ndiyo nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya COVID-19 barani Afrika, inatarajiwa kupokea dozi milioni 1.5 za virusi vya corona...
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

    Mzuka wanajamvi Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako. Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  4. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Hadi Juni 2021 (mwaka huu) DAR itakuwa Ulaya ndogo

    Wadau Habari za kazi. Nimetafakari Sana Miradi ya Kimaendeleo iliyoko Dar na hatua iliyofikia, inatia Moyo kiasi kwamba ndani ya mwezi 6 tangu sasa kwa MIUNDOMBINU Dar itakuwa Kama Ulaya. Check Ubungo interchange, Flyover ya TAZARA, Flyover zinazojengwa Uhasibu na Ile ya makutano ya barabara...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania "Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika kudhibiti tatizo hili. Kuna haja ya kuwafundisha namna ya ku deal na mambo kama haya lakini pia kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wajichimbia Tanzania -Hongera CCM tumeanza kuipita Ulaya

    Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tungetoa msaada kwa nchi za ulaya zilizoathirika sana na corona.

    Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!? Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?. Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

    Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo. Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao. Serikali ijipange...
  9. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

    Habari wakuu! Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini. Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye alijitambulisha kwa Jina la Salome, tulikutana Dar es salaam pale Mlimani City, kwenye ATM ya CRDB...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Relationship between Africa and Europe should be respectful, Paul Kagame

    In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame. President Paul Kagame has emphasized that the relationship between Africa and Europe should base on mutual...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya achuma hela Ulaya kwa kugema pombe ya kienyeji

    Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$ Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK MURATINA A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
  14. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ulaya mtu kusema uongo tu hiyo ni sababu tosha ya kuachishwa nafasi yake, wakati huku kwetu hicho ndicho kinachompaisha mwanasiasa

    Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Marekani kusitisha adhabu ya kifo inayoendelea kutekelezwa

    Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia uamuzi uliochukuliwa. Peter Stano ambaye ni Msemaji wa Kamati ya EU, alitoa maelezo kuhusu suala hilo na kubainisha hofu waliyokuwa nayo dhidi ya serikali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

    Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
  17. Securelens

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  18. Securelens

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

    Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza kuathirika ikiwemo kukwama kabisa kwa miradi hiyo. Hata kama fedha za hii miradi hazitoki Ulaya na...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Back
Top Bottom