Waliowategemea ndugu walio Ulaya na Marekani wana hali mbaya kiuchumi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,068
10,010
Watu walio nje ya nchi, hasa waafrika walioko Marekani na Ulaya wamekuwa watu wanaotoa msaada kwa familia zao zilizobaki Afrika kwa kuwatumia pesa na vitu mbalimbali kila wakati.

Kutokana na changamoto ya COVID19 na hatua mbali mbali zilizochukuliwa ili kuepuka maambukizi zaidi ya janga hilo, watu waliokuwa wanawategemea ndugu zao walio nchi za Ulaya na Marekani wanakuwa katika hali mbaya.

Mchumi wa Benki ya dunia Dilip Rapha amesema kutakuwa na punguzo la 20% la pesa zilizokuwa zikitumwa kwa ndugu wategemezi.

Hii ni kutokana na watu hao walio nje kwa sasa wanahangaika kutafuta kazi kwa kuwa shughuli nyingi zimefungwa kutokana na janga la COVID19.

===

In recent years, remittances were on the rise, playing an increasingly important role in global development. They eclipsed foreign aid in the ‘90s and surpassed foreign direct investment last year. Then COVID-19 and the subsequent lockdowns hit.

Dilip Ratha, the World Bank’s Lead Economist for Migration and Remittances, tells us that he thinks there will be a 20% drop in those flows this year, as migrants struggle to find work. And that matters, he says, because many families depend on those funds for their basic needs.

We also get the view from Manila, from where Katrina Hontomin joins us to talk through how remittances shaped her life – from her early education to today.

And Raka has the latest development data to help us make sense of the story.

It all comes to you from the World Bank Group in Washington, DC and around the world!
 
Back
Top Bottom